Waziri Nnauye Akubali Kuwa Mgeni Rasmi Pambano la Masumbwi Kati ya Cheka na Mserbia

Na Mwandishi Wetu BONDIA maarufu nchini Francis Cheka na Mserbia, Geard Ajetovic.watazipiga katika Pambano la raundi 12 la kuwania ubingwa wa mabara wa WBF la uzani wa super middle limepangwa kufanyika kwenye viwanja vya Leaders Dar es Salaam ambapo bendi ya Twanga Pepeta itatoa burudani. Meneja wa Cheka ambaye pia ni Mkurugenzi wa Advance Security, Juma Ndambile alisema Jana kuwa …

Beyonce Akumbana na Pingamizi Nchini Marekani

Waandamanaji watatu walijitokeza katika mkutano wa kumpinga nyota wa muziki Beyonce nje ya uwanja wa Mpira ya Marekani mjini New York. Maandamano hayo yaliitishwa baada ya onyesho la msanii huyo wakati wa mapumziko ya mechi katika uwanja huo ambapo yeye na wacheza densi wake walivalia kama wanachama wa kundi la itikadi kali la Black Panthers. Watu wengi nchini Marekani walisema …

Mwili wa Marehemu John Walker Waagwa Dar es Salaam Tayari Kuelekea Tanga

Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini Mh. Joseph Mbilinyi, (kulia) akiwa amebeba jeneza la marehemu Michael Dennis Mhina ‘John Walker’ Dar es Salaam wakati wa ibada iliyofanyika katika Kanisa la Muhimbili. (Picha na Francis Dande Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini Mh. Joseph Mbilinyi, (kulia) akiwa amebeba jeneza la marehemu Michael Dennis Mhina ‘John Walker’ Dar es Salaam wakati wa …

Kanye West Azidi Kuongeza Mpunga Baada ya Kuuza Albumu ya Life of Pablo

Albamu mpya ya mwanamuziki Kanye West imepakuliwa kutoka mtandaoni zaidi ya mara 500,000 kulingana na kampuni ya kupakua kanda za video na sauti Torrent Freak. Msanii huyo alitoa albamu hiyo ya Life of pablo kutoka kwa huduma ya mtiririko wa muziki wa Jay-Z Tidal siku mbili zilizopita. Maelfu ya raia waliolipa ili kusikiza albamu hiyo walilalama kwamba wameshindwa kupakua albamu …