MIAMBA ya masumbwi nchini, Bingwa wa Mabara, Francis Cheka (SMG) na Bingwa wa Dunia, Karama Nyilawila (Captain) wanatarajia kupanda ulingoni Januari 28 mwaka huu, kupimana nguvu kati ya mabingwa hao. Kihistoria mabingwa hao yaani Cheka pamoja na Nyilawila hawajawahi kutwangana jambo ambalo limekuwa likizua minong’ono kwamba huwenda mabondia hao wanaogopana. Akizungumza jana jijini Dar es Salaam promota wa pambano hilo, …
Miaka 50 ya Uhuru, Ubalozi wa Tanzania wafanya kweli Ujerumani
*Ngoma Africa Band wawakivutio kwa waheshimiwa DESEMBA 9 na 10, 2011 Watanzania waishio Ujerumani na nchi jirani wakishirikiana na Ubalozi wa Tanzania nchini Ujerumani, walijikuta wakilitingisha Jiji la Berlin katika sherehe za Maadhimisho ya Miaka 50 ya Uhuru wa Tanzania Bara. Taarifa zinasema sherehe hizo zilizoongozwa na Balozi, Ngemela na maofisa wengine wa ubalozi akiwemo, Ali Siwa zilianzia katika Ukumbi …
FFU wa Ngoma Afrika wawasili Berlin!
*Ni kwa kufanya onesho la Sherehe za miaka 50 ya Uhuru UMOJA wa Watanzania nchini Ujerumani (UTU) unatarajiwa kuzinduliwa rasmi Desemba 10, 2011 Berlin! Kikosi Kazi cha Ngoma Africa band a.k.a FFU, kimeshatua mjini Berlin kwa kazi ya kutumbuiza katika hafla ya uzinduzi huo. Kikundi hicho cha wasanii kinatarajiwa kushambulia jukwaa kwa burudani murua katika kusherekea miaka 50 ya uhuru …
Kamanda Kova mgeni rasmi pambano la ngumi
Na Mwandishi Wetu MLEZI wa Mchezo wa Ngumi Tanzania, Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Suleiman Kova anatarajia kuwa mgeni rasmi katika pamabano kati ya Rashid Matumla ‘Snake Man’ na Maneno Osward ‘Mtambo wa Gongo’ linalotarajia kufanyika Desemba 25 kwenye Ukumbi wa Heinken, Mtoni Kijichi Dar es Salaam. Pambano hilo lisilo la ubingwa linatarajia kuwa katika uzito …