Msondo Ngoma ‘Baba ya muziki’ waomba radhi

Na Mwandishi Wetu BENDI kongwe ya muziki wa dansi Tanzania, Msondo Ngoma ‘Baba ya muziki’, inawaomba radhi mashabiki wao wa DDC Kariakoo kwa kuwakosa kwa wiki moja kwani kwa sasa wanapiga shoo ya Jumapili hii katika Ukumbi wa Max Bar ya Ilala Bungoni Dar es Salaam. Akizungumza na waandishi wa habari, Msemaji wa bendi hiyo, Rajabu Mhamila ‘Super D’, alisema …

Bondia Mohamed kutetea mkanda wake wa PST

Na Mwandishi Wetu BINGWA wa Mkanda wa Shirikisho la Ngumi za Kulipwa Tanzania (PST), Abdalah Mohamed ‘Prenc Naseem’ atapanda ulingoni kutetea mkanda wake wa PST Februari 24 mwaka huu dhidi ya Salehe Mkalekwa. Pambano hilo la ubingwa wa PST litakuwa ni pambano la uzito wa kg 57 na litashirikisha mapambano mengine manne ya utangulizi. Akizungumza Dar es Salaam jana, Mratibu …

Mabondia 17 wachanguliwa kuunda timu ya taifa ya ngumi

BFI imetaja kikosi cha mabondia waliochanguliwa kuunda Timu ya Taifa ya Ngumi katika mashindano ya mchujo yaliyo malizika Februari 17, 2012. Mabondia waliochaguliwa ni 49kg L-fly. John Christian na Said Pume.52kg fly. Abdalah Kassimu na George Costantinee 56kg Bantam.Emilian Patrick na Undule Langson 60kg i-weight.Denis Martine na Fabian Gaudence 64kg L-welter.Victor Njaiti na Hamisi Kitenge 69kg welter.Mohamed Mhibumbui 75kg middle.Selemani …

Bobby Brown Explains Why He Left Whitney Houston’s Funeral

WHITNEY Houston’s funeral packed the inside of Newark’s New Hope Baptist Church Saturday. But one notable person who was absent from the crowd was her ex-husband Bobby Brown. A witness tells Us Weekly that Brown “was allowed to go in, pay his respects and then he had to leave. He was red-eyed going up to the casket and then left. …