Richboi ‘Kingkapita’, Nas 3 waja na Mtoto Mlito

BAADA ya kufanya vizuri mwaka 2011 na mwaka huu mwanzoni na kibao kilichobamba vilivyo cha ACHAAAA kilichomshirikisha produza Messen Selekta. Wanamuziki hawa walipata show kadhaa pamoja na kukubalika kwa baadhi ya mashabiki Bongo. Sasa wakali hawa wawili wanaofanya vizuri kwenye miziki ya kizazi kipya, yaani RICHBOI a.k.a na NAS 3 wamefanya banger lingine kali wakimshirikisha RICH MAVOKO anayekiki mjini hapa. …

Mkali wa ‘facebook’ kuipagaisha Dar leo

Na Mwandishi Wetu CLEOPAS Monyepao maarufu kama DJ Cleo mkali wa nyimbo ya Facebook kutoka Afrika Kusini leo anatarajia kutoa burudani katika viwanja vya Posta, Kijitonyama jijini Dar es Salaam. Dj Cleo katika onesho hilo pia ameambatana na wachezaji wake Dumisani Makihanya ‘Bleksem’ na Dj Soul T ambaye amekuwa akionekana katika video mbalimbali za nyimbo zake. Akizungumza Dar es Salaam …

Prime Time Promotions yaingia mkataba na Simba

KLABU ya soka ya Simba ina furaha kubwa kuutangazia umma wa Watanzania kwamba imeingia mkataba na kampuni ya Prime Time Promotions/Clouds Media Group unaohusiana na Promosheni na Masoko (Promotion and Marketing) kwa ajili ya mechi ya Kombe la Shirikisho (CAF) kati ya Simba na Kiyovu Sport ya Rwanda. Ushirikiano huo wa namna ya kipekee una lengo la kuhakikisha kuwa Watanzania …