Waziri wa Habari Vijana na Utamaduni Dk. Emmanuel Nchimbi akimkabidhi kombe na Fedha taslimu sh. milioni 3 nahodha wa timu ya Habari kutoka Zanzbar Bi. Mwanaidi Awadhi mara baada ya timu hiyo kuibuka na ushindi kwa kushika nafasi ya kwanza kwenye mchezo wa mpira wa pete kwa wanawake katika mashindano ya 9 ya NSSF kwa vyombo vya habari Machi Mosi, …
Msanii Mwalagho aelezea historia yake
KAZI yetu ni kutunza kumbukumbu za wale ambao wanathamini mawazo fikra, mbinu zao kwa manufaa yawengine au vizazi vipya. Msikilize kwa makini Muigizaji, Mchezaji, Mshairi, msimulizi wa hadithi na mwimbaji Anna Mwalagho akieleza mengi kuhusu maisha yake. Ameeleza alivyoanza mpaka alipofikia, waliomvutia, mafanikio katika kazi na mengine mengi. Msikilize kwenye mahojiano haya aliyofanya nasi ndani ya studio za Asparagus zilizopo …
Francis Cheka, Mada Maugo watambulishwa mkanda wa ubingwa IBF
Na Mwandishi Wetu WAANDAAJI wa pambano la ubingwa wa IBF kati ya Francis Cheka na Mada Maugo leo wametambulishwa rasmi mkanda huo ambao utashindaniwa Aprili 28 mwaka huu katika ukumbi wa PTA, Dar es Salaam. Pambano hilo linatarajiwa kuwa katika uzito wa kg 75 la raundi 12 la Kimataifa ambapo linatarajiwa kuwa chini ya Kamisheni ya Kamisheni ya Ngumi za …
Na Mwandishi Wetu MWANAMUZIKI maarufu wa bendi kongwe ya Msondo ngoma, Muhidin Gurumo aliyelazwa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili kwa ugojwa wa shinikizo la damu anaendelea vizuri. Akizungumzia afya hiyo jijini Dar es Salaam jana, Msemaji wa bendi hiyo Rajabu Mhamila ‘Super ‘D’ alisema; Gurumo anaendelea vizuri na wakati wowote anaweza kuruhusiwa kutoka hospitalini. Alisema madaktari wanataka kuchukua vipimo vya …
Ngoma Africa Band…The Golden voice of EA soulful vocals
The Golden Voice of East Africa Soulful Vocals, hypnotic guitars and driving Rhythm of BONGO DANCE IT’S the first African band to use is music as cross culture bridge from Tanzania in East Africa to the World! Ngoma Africa Band wich has been named The Golden Voice of East Africa is a fast – growing band with a huge fans …