Kanumba alitabiri ‘kifo’ chake

Joachim Mushi MSANII maarufu wa filamu, Steven Kanumba aliyezikwa leo jijini Dar es Salaam katika makaburi ya Kinondoni inasadikika kuwa alitabiri kifo chake siku kadhaa kabla ya kifo hicho. Kanumba ambaye taarifa za awali za madaktari zinasema kifo chake kimetokana na mtikisiko wa ubongo alioupata baada ya kutokea mzozo na mpenzi wake nyumbani kwake Sinza Vatican hivi karibuni, rafiki zake …

Msondo Ngoma yatangaza ratiba ya Pasaka

BENDI kongwe ya muziki wa dansi Tanzania, Msondo Ngoma ‘Baba ya Muziki’ imetoa ratiba yao katika kusherekea Sikukuu ya Pasaka ambapo wamesema kuwa wataanza kutoa burudani ndani ya Wipes Bar Mivinjeni Kurasini, siku ya Ijumaa watakuwa Leanders Club Kinondoni, Jumamosi watakuwa TCC Club Chang’ombe, Pasaka watakuwa Kata ya 14 Temeke na Jumatatu ya Pasaka watakuwa sambamba na FM Academia Wazee …

LAPF kutoa msaada kwa kambi ya masumbwi taifa

AWALI ya yote Shirikisho la Ngumi Tanzania (BFT) tunatoa shukrani za dhati kwa kwa shirika la LAPF kwa mara nyingine kukubali kuipatia timu ya Taifa ya ngumi msaada wa vifaa mbalimbali kwa ajili ya maandalizi kushiriki mashindano ya kufuzu kushiriki mashindano ya Olimpiki yatakayofanyika Casablanca Morocco Aprili 27/2012 na hatimaye mashindano ya Olimpiki Julai 2012 London Uingereza. Zoezi hilo litafanyika …