Mada Maugo, Francis Cheka wapima uzito

Na Mwandishi Wetu MABONDIA Mada Maugo na Francis Cheka leo wamepima uziko kujiandaa na pambano lao la ubingwa wa IBF litakalofanyika Aprili 28, 2012 katika Ukumbi wa PTA, Dar es Salaam. Mabondia hao wamepatikana na KG.KG.76.5. Pambano lao linatarajiwa kuwa na uzito wa kg 75 la raundi 12 la Kimataifa ambapo linatarajiwa kuwa chini ya Kamisheni ya Kamisheni ya Ngumi …

Tanzania has regained its lost glory in world of music…!

TANZANIA has regained its lost glory in world of music fame that has dwindled since the eighties. When the name of Tanzania is currently mentioned in international music circles the name of Ebrahim Makunja popularly known as Ras Makunja of FFU and his “The Ngoma Africa Band” aka FFU based in Germany cannot be slighted. FFU has earnestly strived to …

Kambi ya Cheka anavyojifua kumkabili Maugo

Kocha wa mchezo wa masumbwi Abdalah Ilamba ‘Komandoo’ akimfanyisha mazoezi ya kukaza misuli ya tumbo bondia Francis Cheka Dar es Salaam, Cheka anajiandaa na mpambano wake na bondia Mada Maugo utakaofanyika Jumamosi hii katika Ukumbi wa PTA Sabasaba ambapo mshindi atakuwa Bingwa wa Mkanda wa I.B.F na kunyakua zawadi ya gari. Picha na Super d blog.

Miss Arusha City Center kujulikana Mei 5

Na Mwandishi Wetu MASHINDANO ya Ulimbwende ngazi ya kitongoji Kanda ya kaskazini, Miss Arusha City Center 2012, yanatarajiwa kufanyika Mei 5 2012 ndani ya hoteli ya Kitalii, Naura Springs Hotel iliyopo kati kati ya jiji la Arusha. Akizungumza leo jijini Arusha, Mratibu wa shindano hilo Bi. Upendo Simwita kutoka kampuni ya Tour Visual Entertainment ambao ndio waandaji wa shindano hilo, …

Lulu ‘Elizabeth’ afikishwa tena mahakamani

Na Mwandishi Wetu MSANII nyota wa filamu na chimpukizi, Elizabeth Michael maarufu kwa jina la ‘Lulu’ leo amefikishwa tena katika Mahakama ya Hakimu Mkazi ya Kisutu kwa kesi ya tuhuma ya mauaji inayomkabili. Lulu amefikishwa mahakamani hapo ikiwa ni mara ya pili tangu afunguliwe kesi hiyo, akituhumiwa kuhusika na kifo cha msanii nyota na maarufu marehemu Steven Kanumba. Kesi hiyo …