Na Mwandishi wetu MCHEZO wa ngumi nchini Tanzania unazidi kushika kasi kutokana na kuchipuka kwa mabondia wengina mapromota ambao wanapigana katika kuwania mataji mbalimbali nje na ndani ya Tanzania na kuandaa mapambano. Wapo mabondia wengi katika historia ya Tanzania ambao wamewahi kupigana nje ya nchi hukiwauliza kuhusu ubora wa mchezo wa ngumi katika upande wa vifaa vya mchezo huo ndani …
Warembo Ukonga na Tabata wafanya mazoezi
WAREMBO wa vitongoji viwili vya Ukonga na Tabata jana walifanya mazoezi ya pamoja katika kuleta ushirikiano na kujenga urafiki baina ya warembo hao katika fani ya urembo. Warembo wa Tabata waliwatembelea wenzao wa Ukonga katika kambi yao ya mazoezi iliyopo Ukonga Hill Tech Bar maeneo ya Minazi Mirefu au maarufu Banana. Vitongoji vya Ukonga na Tabata warembo wake watakao shinda …
Cheka alivyo mtwanga Maugo
Mpambano wa Cheka na Mada Maugo katika picha
Chambers aruhusiwa Olimpiki London 2012
Mwanariadha wa mbio fupi wa Uingereza Dwain Chambers sasa anaruhusiwa kushiriki katika mashindano ya Olimpiki ya London 2012 Dwain Chambers sasa anaweza kushiriki katika mashindano ya London 2012, kufuatia uamuzi wa mahakama ya kimataifa ya rufaa inayohusika na michezo duniani, Court of Arbitration for Sport (Cas). Chama cha Olimpiki cha Uingereza, BOA, kimekuwa na sera ya kuwazuia maisha wanariadha wanaoadhibiwa …
Timu ya Kitivo cha Elimu Chuo Kikuu Dodoma yaichapa Dodoma Spurs 58-53
Pambano la mpira wa kikapu kati ya timu ya Kitivo Cha Elimu Cha Chuo Kikuu Cha Dodoma na timu ya Dodoma Spurs (Timu ya Mkoa) ambapo timu ya kitivo cha elimu cha Chuo Kikuu Cha Dodoma iliibuka na ushindi wa vikapu 58 kwa 53 dhidi ya Timu ya Mkoa Wa Dodoma (Dodoma Spurs) katika ligi ya mpira wa kikapu inayoendelea …
Zijue mechi za Ligi Kuu wikiendi hii
LIGI Kuu ya Vodacom inaendelea katika raundi ya 25 kesho (Aprili 28 mwaka huu) ambapo Coastal Union itakuwa mwenyeji wa Kagera Sugar kwenye Uwanja wa Mkwakwani jijini Tanga huku Mtibwa Sugar ikiwa mgeni wa African Lyon kwenye Uwanja wa Chamazi. Aprili 30 mwaka huu Azam na Toto African zitacheza Chamazi wakati Mei 1 mwaka huu Villa Squad itaumana na Oljoro …