Washiriki Miss East Afrika 2012 waanza kutangazwa

WAREMBO watakaoziwakilisha Nchi zao katika mashindano ya Miss East Africa mwaka huu wameanza kutangazwa. Mrembo wa kwanza kupatikana ni Miss Rahwa Afework (22) kutoka Nchini Eritrea ambae aliwashinda wenzake waliojitokeza kutaka kuiwakilisha Eritrea katika mashindano hayo. Miss Rahwa Afework mwenye urefu wa 1.73m anasomea mambo ya Fashion design Nchini Eritrea. Fainali za mashindano ya Miss East Africa 2012 zitafanjika tarehe …

Adam Mchomvu wa Clouds FM aanzisha Blogu

LIMENEKE MPYA TOW…LIBENEKE LINALISIMAMIWA NA PRESETER MKALI TOKA SUPER BRAND RADIO CLOUDS FM ADAM MCHOMVU AKA BABA JONII SASA INAPATIKANA ONLINE MASAA 24 IKIWA NA HABARI MOTOMOTO, BEAKIN NEWS, JONII ZOTE NA U HEEEEARD ZA KILA SIKU ZINAPATIKANA KILA SIKU NA KILA UTAPOIFUNGUA UTASIKIA SAUTI YA JONII IKIWA NA GRAPHICZ ZA HATARI ZIKIWA ZINASIMAMIWA NA KINGKAPITA KAMA ADMINISTRATOR MKUU, NYIMBO …

Ngoma Africa Band yatoa hongera kwa wanahabari

BENDI maarufu ya muziki wa dansi barani Ulaya “Ngoma Africa Band” a.k.a FFU yenye maskani yake nchini Ujerumani, imetoa salamu za pongezi kwa wanahabari na vyombo vya habari vyote duniani katika sherehe ya siku ya “uhuru wa vyombo vya habari” kila Mai 3, ya kila mwaka. FFU inawapongeza wanahabari na vyombo vyao kwa kazi nzuri na muhimu wanazofanya za kuwapasha …