TWIGA STARS KUJIPIMA KWA BANYANA BANYANA

Timu ya Taifa ya wanawake (Twiga Stars) inatarajia kucheza mechi nyingine ya kirafiki dhidi ya Afrika Kusini (Banyana Banyana) itakayofanyika Mei 20 mwaka huu Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Twiga Stars inayojiandaa kwa mechi ya mchujo kuwania tiketi ya kucheza Fainali za Afrika kwa Wanawake (AWC) dhidi ya Ethiopia imeingia tena kambini jana (Mei 14 mwaka huu) kujiwinda kwa …

Miss East Africa 2012; Ethiopia yatoa mshiriki

WAREMBO watakaoziwakilisha nchi zao katika mashindano ya Miss East Africa mwaka huu wanaendelea kupatikana kutoka katika nchi mbalimbali zinazoshiriki mashindano hayo. Mrembo mwingine aliyeingia fainali ni Miss Lula Teklehaimanot (19) kutoka nchini Ethiopia ambae alipatikana mwishoni mwa wiki baada ya kuwashinda warembo wenzake waliojitokeza kutaka kuiwakilisha Ethiopia katika fainali hizo. Miss Lula Teklehaimanot ana urefu wa meta 1.79 na uzito …

Manchester City yarudisha heshma Ligi ya England

Manchester City ikifunga mabao mawili zikiwa zimesalia dakika mbili za nyongeza mpira kumalizika, wamefanikiwa kuunyakua ubingwa wa Ligi Kuu ya Kandanda ya England kwa kuwalaza QPR waliocheza wakiwa 10 kwa mabao 3-2 katika mchezo uliomalioza msimu kwa mtindo wa kusisimua. Pablo Zabaleta alikuwa wa kwanza kuipatia bao la kuongoza Manchester City kabla Joleon Lescott kufanya makosa na kumpatia nafasi Djibril …

mashindano ya Pool vyuo vya Dodoma yaendelea

Mchezaji wa Chuo Kikuub cha UDOM ,Justine Oresther akipiga mpira wakati wa mashindano ya mchezo wa pool kwa vyuo vikuu vya Dodoma michezo hiyo inadhaminiwa na Kampuni ya bia Tanzania kupitia bia yake ya Safari Lager inaendelea Refa wa mchezo akiwapatia maelezo wachezaji kabla ya mchezo Baadhi ya washabiki na wana vyuo Vikuu vya Dodoma wakifatilia mchezo wa pool

Wanamasumbwi waguswa kifo cha Rachel Mwiligwa

KAMPUNI ya Big Right Promotion kupitia kwa Mkurugenzi wake Ibrahim Kamwe imepokea kwa masikitiko taarifa za kifo cha Mhariri wa Michezo wa gazeti la Mtanzania, Rachel Mwiligwa kilichotokea Mei 11 mwaka huu. Kwa niaba ya mabondia, makocha na mapromota wa masumbwi nchini tunawataka familia ya Rachel na kampuni ya New Habari wawe wavumilivu katika kipindi hiki kigumu cha msiba. Tunatoa …