Roma Mkatoliki afunika Mbeya

Na Father Kidevu Blog, Mbeya MANENO ya Injili yanayosema Wamwisho anakuwa wakwanza na wakwanza akawa wamwisho yametima hii leo katika Uwanja wa Sokoine Mjini Mbeya pale mkali wa Hip Hop, Roma Mkatoliki alipoongoza jahazi la wakali wa Tuzo za Kili Musc Award 2012 katika onesho lao la Uwanja wa Sokoine mjini Mbeya jana. Roma akipanda juukwaani akisindikizwa na DJ maarufu …

Mabondia wapima uzito kwa mpambano

MABONDIA, Ramadhan Kumbele na James Mokiwa wamepima uzito kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika kesho katika Ukumbi wa VIJANA – KINONDONI. Mabondia wote wapo katika hali nzuri na wamejinadi kila mmoja kushinda. Katika mpambano huo ambao utakuwa wa Ubingwa wa Bantam weight (53.5kgs), ubingwa wa taifa utakaosimamiwa na TPBO. Imeelezwa kuwa pambano hilo litatanguliwa na mapambano ya kadhaa ya utangulizi, …

Omy Dimpoz kuzindua single ‘Baadae’ Bilcanas

Na Mwandishi Wetu BAADA ya kutamba na wimbo wake wa Nai Nai Msanii anaekuja juu kwa kasi ya ajabu na mshindi wa Tuzo mbili za Kili Music Award 2012, Omy Dimpoz anataraji kuzindua Single yake mpya ya Baadae katika ukumbi wa Club Bilcanas jijini Dar es Salaam. Akizungumza na mtandao huu wa Kijamii, Meneja wa Msanii huyo, Mbaruku Issa ‘Mubenga’ …

FFU wa Ngoma Africa kuwapagaisha Wacameruni 5,000 Stuttgart

*Itakuwa ni virungu vya muziki bila Huruma WACAMERUNI zaidi ya 5,000 waishio nchini Ujerumani wanatarajia kujimwaga pamoja na kujirusha na muziki wa dansi wa Ngoma Africa Band huko mjini Stuttgart, Ujerumani Mai 20, 2012, katika sherehe maalumu ya nchi yao “Cameruni Challenge”. Kamati ya maandalizi ya Jumuiya ya Wacameruni nchini Ujerumani imetoa mwaliko kwa bendi maarufu ya muziki wa dans …

Redd’s Miss Tanzania 2012, Sasa ni Kurasini

MASHINDANO ya REDD’S MISS TANZANIA 2012 yanaendelea kushika kasi kwa ngazi za vitongoji jijini Dar es Salaam, baada ya hivi karibuni kufanyika mashindano katika kituo cha Ukonga, Chuo cha Ustawi wa Jamii na Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM); sasa ni zamu ya REDD’S MISS KURASINI 2012. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Mkurugenzi wa ZUM Fashions and Entertainment, Zuwena …

Hatimaye Super D atambulika mchango wake

Rajabu Mhamila ‘SUPER D BOXING COACH’ akipokea cheti kutoka kwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Temeke, David Misime cha kutambua mchanmgo wake wakati wa Mpambano wa Francis Cheka na Mada Maugo SUPER D ambaye ni Kocha wa Masumbwi na Mtaalishaji wa DVD za masumbwi zinazofundisha sheria na mbinu za mchezo huo akichanganya na mabondia wa kimataifa pia amekuwa akitoa vifaa …