Ngoma afrika kuwasindikiza wa-cameroon siku ya taifa lao

Bendi maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya “Ngoma Africa Band” aka FFU, inatarajiwa kupanda jukwaani siku ya jumamosi mjini Stuttgart,Ujerumani kutumbuiza katika sherehe ya siku ya taifa la Cameroon.kikosi kazi cha Ngoma Africa band aka FFU, watatingisha jukwaa katika ukumbi wa Arena la Sportpark Feuerbach, uliopo mtaa (Triebweg 85, 70469 Stuttgart) ,Wakamerooni wapatao 5,000 wanaoishi ujerumani pamoja Ngoma Africa …

Redds Miss Tanzania Chang’ombe maandalizi yaanza

MASHINDANO ya kuwania taji la Redds Miss Tanzania 2012 yanazidi kupamba moto kwa ngazi za vitongoji nchini kote huku vitongoji kadhaa vikiwa tayari vimesha fanya mashindano yake na vingine vikiendelea na maandalizi. Wakati wiki hii Mashindano hayo yakitraji kufanyika katika Vitongoji vya Kurasini Jijini Dar es Salaam tayari Wanyange wanaowania taji la Redds Miss Cha’gombe 2012 nao wapo katika mazoezi …

Kamati ya Miss Tanzania yawatembelea warembo Redds Miss Kurasini

Hashim Lundenga aliwataka warembo hao kujiheshimu maana urembo ni kazi kama zilivyo kazi nyingine na warembo wengi wanaojiheshimu na kuwa na tabia njema katika jamii huwa na mafanikio makubwa. Wakati Nameems Wear wakiwa ni wadhamini wakuu, wakisaidiwa na Reds, Dodoma wine, Clouds FM, Lady Pepeta, Father Kidevu Blog, Jambo Leo, Aucland Tours & Safaris, Candy Bureau de Change, Flexip, PJ …

Msondongoma kuwarusha mashabiki uzinduzi wa Emirete Masasi

Na Mwandishi Wetu BENDI Kongwe ya Msondo ngoma ya jijini Dar es Salaam inatalajia kufanya uzinduzi wa ukumbi mpya wa kisasa wa burudani wa Emirate Hall uliopo Masasi June 2 mwaka huu. Akizungumza na waandishi wa habari Msemaji wa bendi hiyo Rajab Mhamila ‘Super D’ alisema wamealikwa kwa ajili ya kutoa burudani siku ya ufunguzi wa ukumbi huo ambapo watatoa …

14 wadhamini Redd’s Miss Kurasini 2012

SHINDANO la Redds Miss Kurasini 2012, ambalo linataraji kufanyika Mei 25 mwaka huu katika ukumbi wa Equator Grill, yamezidi kupata wadhamini watakaofanikisha shindano hilo. Akizungumza jana Mkurugenzi wa ZUM Fashion & entertainment, Zuwena Mustapha amesema mbali na Kampuni ya Bia Tanzania kudhamini shindano hilo kupitia kinywaji chake cha Redds, pia makampuni kadhaa yamevutiwa na kuamua kudhamini shindano hilo. “Leo napenda …

Ayisha Nagudi kuiwakilisha Uganda Miss East Africa 2012

Na Mwandishi Wetu MREMBO aliyetangazwa mwishoni mwa wiki, Miss Ayisha Nagudi (23) kutoka nchini Uganda anatarajiwa kuiwakilisha nchi yake katika fainali za mashindano ya Urembo Afrika Mashariki na Kati (Miss East Africa 2012). Washiriki wa kinyang’anyiro cha fainali za mashindano ya ‘Miss East Africa 2012’ wanaendelea kutangazwa katika mchujo ulioendeshwa na kampuni ya East Africa gazelle ya nchini humo. Miss …