BENDI ya muziki wa dansi Mashujaa Wanaposoposo’ Ijumaa ya Juni 15 wameandaa shindano maalum la mavazi ya kizamani. Wapenzi wa muziki wakaovaa mavazi ya kizamani watapata zawadi shindano litakalofanyika kwenye ukumbi wa Business Park Dar es Salaam. Akizungumza Dar es Salaam jana meneja wa bendi hiyo Martin Sospeter, alisema kuwa watu watakaoingia katikan onesho la bendi hiyo watapata zawadi. Alisema …
Mabondia Majia na Ramadhan wapima uzito kuzichapa
BONDIA Fadhili Majia ambae ni Bingwa wa kimataifa wa UBO na Bingwa wa taifa wa flyweight-PST 2012, TPBO 2010, TPBC 2009 na chalenger wa ubingwa wa dunia wa WBO Afrika 2009 south Afrika amepima uzito na afya kiujumla kwa ajili ya kumkabili mpinzani wake NASIBU RAMADHANI ambae ni bingwa wa WBF (World Boxing Forum International Flyweight Title) 2011. Zoezi zima …
WALIOTEULIWA KUWANIA TUZO YA WANAMICHEZO BORA 2011
KIKAPU: WANAWAKE DORITHA MBUNDA :-JKT QUEENS EVODIA KAZINJA:-JKT QUEENS FARAJA MALAKI:-JESHI STARS WANAUME ALPHA KISUSI-Vijana FILBERT MWAIPUNGU:-ABC GILBERT BATUNGI:-ABC NETIBOLI: LILIAN SYLIDION DORITHA MBUNDA GOFU WANAWAKE: Madina Iddi (Umri miaka 27) Hawa Wanyeche (Umri miaka 26) Ayne Magombe (Umri miaka 24) WANAUME: Frank Roman Nuru Mollel Issac Anania GOFU WA KULIPWA: FADHILI SAIDI NKYA. YASINI SALEHE HASSANI KADIO OLIMPIKI MAALUM …
Warembo wa Miss Dar Intercollege 2012 watambulishwa
WAKIWA wamejipanga mbele ya wadau na wadhamini katika uzinduzi wa bendi ya SkyLight iliyofanyika Mafian Lounge iliyopo Masaki, bendi hiyo inamilikiwa na mmoja wa wadhamini wao Ndege Insurance. Mratibu wa Shindano hilo Dina Ismail alisema kwamba warembo watakaoshiriki shindano hilo wanaendeleza na mazoezi kwenye hoteli ya Lamada jijini Dar es Salaam chini ya ukufunzi wa Marylidya Boniface, huku kwa upande …