Jamhuri ya Ireland nje!

FERNANDO Torres alifanikiwa kutumbukiza magoli mawili wavuni katika mechi ambayo Uhispania kwa urahisi ilifanikiwa kuilazimisha Jamhuri ya Ireland kukusanya virago na kuondoka katika mashindano ya Euro 2012. Mkwaju wa Torres uliopigwa kwa kasi mno kutoka yadi kumi ulianzisha mfululizo wa magoli, mara tu baada ya bao hilo la kwanza kuingia wavuni katika dakika ya nne ya mchezo. Mara tu baada …

Waamuzi kozi ya FIFA kupimwa ufahamu wa alama

WAAMUZI 54 wanaoshiriki kozi ya Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA) iliyoanza Juni 11 mwaka huu, kesho (Juni 14 mwaka huu) watahamia Uwanja wa Karume kwa ajili ya mazoezi ya alama (signals). Mazoezi hayo yatafanyika kuanzia saa 1-4 asubuhi. Kozi hiyo itakayomalizika kesho (Juni 14 mwaka huu) inaendeshwa na wakufunzi Carlos Henriques na Mark Mizengo kutoka FIFA wakisaidiwa …

Kaseba uso kwa uso na Cheka uwanja mpya wa taifa siku ya Sabasaba

Mabondia, Francis Cheka (kushoto) na Japhert Kaseba, wakitunishiana misuli wakati wa utambulisho wa mpambano wao unaotarajia kufanyika Siku ya tarehe saba mwezi wa saba katika uwanja mpya wa taifa . Ambapo kutakuwa na burudani mbalimbali kutoka kwa wasanii nchini wakiongozwa na Diamond pia kutakua na mechi ya Bongo Move na wasanii wa Bongo Fleva watakapochuana kwa mara nyingine katika mpambano …

Thomas Mashauri kutetea ubingwa wake June 24 Friends Corner Manzese

BONDIA wa ngumi za kulipwa kutoka kyela mkoani mbeya MAISHA SAMSON ameahidi kumtwanga mpinzani wake THOMAS MASHALI kwa knock-out ya raundi ya 9 ktk pambano lao litakalo fanyika tarehe 24-06-2012 katika ukumbi wa FRIENDs- CORNER ulioko jijini dar-es-salaam. ktk pambano hilo la raundi 10 thomas mashali atakuwa anatetea ubingwa wake wa taifa unaotambuliwa na oganaizesheni ya ngumi za kulipwa nchini …

Mashindano kusaka vipaji vya ngumi kuanza Juni 15 Dar

MASHINDANO ya kumi bora ya mchezo wa masumbwi yanatarajia kufanyika June 15 katika ukumbi wa Panandi Panandi Ilala Dar es Salaam akizungumza na waandishi wa habari Kocha wa kimataifa wa mchezo wa Ngumi Rajabu Mhamila ‘Super D’ alisema vijana wengi wamejitokeza kushiriki michuano hiyo yenye lengo la kupanga viwango vya mabondia.Aliwataja baadhi ya mabondia watakaopambana siku hiyo ni Ibrahim Class …

Polisi Mara yaendelea kuongoza ligi ya Taifa Musoma

POLISI Mara wameendelea kuongoza ligi ya Taifa kituo cha Musoma kwa kuwafunga RED COST 1-0 nakufikisha POITI 11 huku TESSEMA YA TEMEKE ikibanwa mbavu na wauza mitumba wa Ilala ASHATHI na kutoka sare pacha ya 0-0.