Deidre Lorenz awasili Moshi

MCHEZA sinema toka Marekani Deidre Lorenz amewasili mjini Moshi tayari kushiriki kwenye mbio za Mt. Kilimanjaro Marathon zitakazofanyika juni 24. Lorenz amwasili leo na ndege ya Ethiopian Airlines ambao ndio wafadhali wa mbio za Mt. Kilimanjaro Marathon zinazofanyika jumapili ya mwisho ya mwezi wa sita kila mwaka. Ujio wa Lorenz ambaye amecheza sinema nyingi zikiwamo Santorini Bule, Perfect Strangers, The …

Hawa ndio warembo wa Dar Indian Ocean 2012

HAWA NDIYO WAREMBO WA MISS DAR INDIAN OCEAN 2012 WATAKAOWASHA MOTO KIJIJI CHA MAKUMBUSHO JUNE 22, 2012 Warembo wanaotarajiwa kushiriki shindano la Miss Dar Indian Ocean 2012 wakiwa katika picha ya pamoja.

Ngoma Africa Band ndani ya Afro-Ruhr Festival, Ujerumani

FFU wa Ngoma Africa ndani ya AFRO-Ruhr Festival ! Mjini Dortmund, UJerumani jumamosi 30 Juni 2012 Kikosi kazi cha Ngoma Africa Band aka FFU yenye makao yake kule Ujerumani,wanategemewa kukwea jukwaa la Afro-Ruhr Festival, siku ya jumamosi 30 Juni 2012 mjini Dortmund,Ujerumani. Bendi hiyo maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya inayoongozwa na mwanamuziki Ebrahim Makunja aka kamanda Ras Makunja …

Diamond kupamba Miss Dar Intercollege 2012

Na Mwandishi Wetu MSANII wa muziki wa kizazi kipya nchini Nasib Adbdul ‘Diamond’ anatarajiwa kupamba shindano la kumsaka Miss dar Intercollege 2012 linalotarajiwa kufanyika Juni 22 kwenye ukumbi wa Makumbusho ya Taifa , uliopo mkabala na chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM). Mratibu wa shindano hilo Dina Ismail alisema jana kwamba mbali na Diamond, onyesho hilo pia litapambwa na burudani …

Vitaly Shemetov amkimbia matumla

Mrusi wa Matumla amemkimbia baada ya kuona rekodi yake ni kali. Wawili hao walikuwa wacheze katika mpambano uliopewa jina la “The Rumble on the Mountain” na ulikuwa ushuhudiwe na mcheza sinema maarufu kutoka nchini Marekani Deidre Lorenz ambaye atakuwa anashiriki mbio za Mount Kilimanjaro marathon mjini Moshi tarehe 24 Juni mwaka huu. Deidre Lorenz anajulikana sana kwa sinema nyingi mojawapo …