Na Mwandishi Wetu MSANII wa mashairi, Said Machenje amekamilisha wimbo pamoja na video ujulikanayo kwa jina la Mila. Wimbo huo wenye hadhi ya kitamaduni umetengenezwa katika studio ya Pamoja Record. Akizungumza na Mtanzania, Machenje alisema kuwa video ya wimbo huo imetengenezwa katika studio ya New Pag iliyopo jijini Dar es Salaam. Machenje alisema ujio wa wimbo huo ni maandalizi ya …
FFU wa Ngoma Africa kuvamia AFRO-Ruhr Festival!
KIKOSI kazi cha Ngoma Africa Band aka FFU yenye makao yake kule Ujerumani, wanategemewa kukwea jukwaa la Afro-Ruhr Festival, siku ya Jumamosi 30 Juni 2012 mjini Dortmund, Ujerumani. Bendi hiyo maarufu ya muziki wa dansi barani Ulaya inayoongozwa na mwanamuziki Ebrahim Makunja aka Kamanda Ras Makunja wa FFU, itapeleka mzimu wake wote wa dansi katika onesho hilo kubwa la aina …
Wanafunzi walemavu washindana Maadhimisho ya Mtoto wa Afrika
Na Mwandishi wa dev.kisakuzi.com, Mafinga WANAFUNZI wenye ulemavu anuai wilayani Mafinga wameadhimisha Siku ya Mtoto wa Afrika kwa kufanya mashindano katika michezo mbalimbali ili kujenga ushirikiano na makundi mengine ya jamii. Mashindano hayo ambayo yaliwaleta pamoja wanafunzi wenye ulemavu anuai yaliyofanyika hivi karibuni wilayani Mafinga yaliandaliwa na mashirika na taasisi zinazofanya kazi na kundi hilo maalumu pamoja na kushirikiana na …
Redds miss Mara 2012 kujulikana June 29
Redds miss Mara 2012 kujulikana June 29 Na Shomari Binda wa Binda News Musoma SHINDANO la kumtafuta Redd’s miss Mara 2012 litafanyika June 29 huku waandaji wa shindano hilo kampuni ya Homeland Entertainment$Promotion wakidai asilimia kubwa ya maandalizi ya shindano hilo yamekwisha kukamilika na kinachosubiliwa ni kumpata mrembo wa Mkoa huo atakaye shiriki katika shindano la Redd’s miss Tanzania 2012. …
Elidas Ella Chirwa kuiwakilisha Malawi Miss East Afrika 2012
Mrembo atakayeiwakilisha Nchi ya Malawi katika mashindano ya Miss East Africa 2012 ametangazwa rasmi baada ya kuwashinda wenzake 39 waliojitokeza kutaka kuiwakilisha Malawi katika mashindano hayo. Mrembo huyo ni Miss Elidas Ella Chirwa (22) mwenye urefu wa 1.82m ni mwanafunzi wa mwaka wa tatu katika Chuo kikuu cha Malawi Fainali za mashindano ya Miss East Africa 2012 zitafanjika tarehe 07 …