Mabondia vijana kushindania baiskeli

KATIBU Kata wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mwananyamala, Rehema Mbegu ameahidi kutoa baskeli kwa Mabondia wa Klabu ya Mazoezi ya Bigright ya Mwananyamala Dar es Salaam. Kiongozi huyo wa vijana ambaye amekuwa karibu na vijana wa klabu hiyo ikiwa ni pamoja kuwasaidia kwa chakula na utoaji ushauri, amesema msaada huo wa baiskeli utawasaidie kuzitumia kwenda shuleni …

Vicent Kigosi aja na Sobing Sound

MSANII wa filamu nchini Visent Kigos ‘Ray’ amezindua filam yake mpya inayojulikana kama ‘SOBING SOUND’. Filam hiyo ameizindua kwa staili tofauti ambapo badala ya kuzindua Ukumbini kama ilivyozoeleka na wengi, msanii huyo amezindua filam hiyo katika kituo cha watoto yatima cha Maunga Centre kwa kutoa msaada wa vitu mbalimbali vyenye thamani ya sh. milioni 1.5 kwa niaba ya Kempuni ya …

BAINA MAZOLA na JUMA FUNDI wakutana pambano la kitaifa

KAIKE promotion imeandaa pambano lingine la ubingwa wa taifa kati BAINA MAZOLA na JUMA FUNDI(ambae alishawahi gombea mkanda wa dunia nchini philipines) litakalopigwa jumapili ya tarehe 15 mwezi wa saba,pambano hili ni mtiririko wa mapambano ya ubingwa wa ngumi na kuendeleza vipaji vya mabondia chipukizi na wale tunaowategemea kwenda kuchukua mikanda mikubwa ya dunia. Inafahamika wazi kwa taifa letu,mchezo wa …

Redd’s Miss Ubungo 2012 yapata wadhamini

JUMLA ya makampuni sita yaliyojitokeza katika udhamini wa Redd’s miss Ubungo msimu huu, makampuni hayo ni REDD’S, MBEKENYELA TRANSPORT, LADY PEPETA, FLEXIP, NAEEMS CLASSIC WEAR na CLOUD’S FM ndiyo yatakayo isukuma siku hiyo landmark hotel. Warembo wapatao kumi na sita wamejitokeza kuwania taji hilo la redd’s miss Ubungo 2012 wakiwa chini ya mwalimu wao BEATRICE JOSEPH ambaye alikuwa Miss Ruvuma …

Polisi Moro yaacha 17,TZ Prisons 11

KLABU tano za Ligi Kuu ya Tanzania zimewasilisha Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) majina ya wachezaji ambao zimewakatishia mikataba/mikataba yao kumalizika au kuwaacha kwa ajili ya usajili wa wachezaji msimu wa 2012/2013. Kwa mujibu wa klabu hizo, Polisi Morogoro iliyopanda msimu huu imeacha wachezaji 17 wakati Tanzania Prisons ambayo pia imepata hadhi ya Ligi Msimu huu imeacha wachezaji …

Mwana FA, Ommy Dimpoz kupagaisha usiku wa mtu mzima dawa

Na Mwandishi WetuWAKALI wa muziki wa kizazi kipya Mwana FA na Ommy Dimpoz wanatarajiwa kumsindikiza chipukizi mkongwe kwenye muziki wa kizazi kipya Bi Kidude kwenye maonyesho yake matatu Mkoani Mwanza. Maonyesho hayo yatafanyika kuanzia Julai sita, saba na nane, katika kumbi mbalimbali mkoani Mwanza. Ziara hiyo imepewa jina la usiku wa mtu mzima dawa likiandaliwa na Meneja wa TMK Family, …