Pichani kati ni Mwanamuziki mahiri Josee Mara akifafanua kuhusiana na mikakati yao waliyonayo kwa sasa mara baada ya mwanamuziki mwenzao mmoja, Kalala Jr kutimka na kuwaacha wakiwa wawili badala ya watatu. Josee Mara amesema wao wako fiti na hakuna kilichoharibika, kwani kuna wanamuziki wengine kadhaa ambao ni wazuri na watafanya nao kazi kama ilivyokuwa kwa Kalala Jr. “Na sasa hivi …
Watanzania kushereke Sabasaba na CD ya ‘Bongo Tambarare’
Nyimbo za “Supu ya Mawe” na “Uhuru wa Habari” Kutinga Redioni Wakati tunapoelekea katika shamra shamra za Siku Kuu ya Sabasaba, Watanzania watafurahia sikuu hii kwa kupata burudani ya nguvu ya nyimbo mpya zilizopo katika CD ‘Bongo Tambarare’ kutoka kwa bendi maarufu ya muziki wa dansi. Ngoma Africa Band a.k.a FFU yenye maskani nchini Ujerumani, CD hiyonyimbo tatu “Bongo Tambarare”, …
Tamasha la Serengeti Fiesta Soccer Bonanza mkoani Mbeya
Wachezaji wa timu ya mashabiki wa timu ya Manchester City ya Uingereza wakichuana vikali na mchezaji wa timu ya mashabiki wa timu ya Real Madrid huku wakati wa tamasha la mashabiki wa vilabu vya Ulaya linalojulikana kama Serengeti Fiesta Soccer Bonanza, ambalo linafanyika jijini Mbeya katika viwanja vya Chuo cha Uhasibu (TIA) na kushirikisha timu za mashabiki wa vilabu vya …
Mmarekani Chris wilde aahidi kurudi Tanzania
*Atakuja kukimbia kilometa 51 kwa uhuru wa Tanganyika CHRIS Wilde raia wa Marekani aliyekimbia kilometa 50 kuipa Tanzania zawadi ya miaka 50 ya uhuru wa Tanganyika ameahidi kurejea tena mwakani kukimbia kilometa 51 katika mbio za kutimiaza miaka 23 tangu kuanzishwa kwa mbio za Mt. Kilimanjaro Marathon 1991. Wilde ambaye ni mganga msaidizi kutoka Jimbo la Minnesota amekuwa mtu wa …