Wachezaji wa timu ya mashabiki wa timu ya Barcelona wakishangilia mara baada ya mchezaji wao kufufunga goli zuri katika dakika tisini dhidi ya timu ya Mashabiki wa timu ya Chealsea katika mchezo wao wa fungua dima kwenye bonanza la Serengeti Fiesta Soccer Bonanza linalofanyika kwenye uwanja wa Memoriol mjini Moshi mkoani Kilimanjaro mchana huu. Bonanza limepamba moto ambapo kumekuwa na …
Shoo ya Usiku wa Mtu Mzima Dawa Mwanza
Mmoja wa wasanii wa muziki wa kizazi kipya atambulikae kwa jina la kisanii Ommy Dimpo akijiachia jukwaani na mmoja wa mashabiki waliyejitokeza kucheza nae,kwenye shoo ya Usiku wa Mtu mzima Dawa uliofanyika kwenye kiota cha maraha cha Villa park usiku wa kuamkia leo,jijini Mwanza.Aidha katika makamuzi hayo washabiki wapenzi wa muziki wa kizazi kipya walijaa ile mbaya na palikuwa hapatoshi …
Masanja Mkandamizaji kuzindua ‘Hakuna jipya’ Iringa
Hii ni kwa mara ya Kwanza katika historia ya Mkoa wa Iringa kufanyika uzinduzi mkubwa kama huu, kumbuka kwamba mtandao huu utawaletea matukio yote ya uzinduzi kwa hisani ya mtandao wa www.francisgodwin.blogspot.com, wadhamini wengine ni Radio Ebon Fm, Ovarcomers FM, mbunge wa viti maalum mkoa wa Iringa (CCM) Mhe. Ritta Moto Kabati na wadhamini wengine wengi.
Deidre Lorenz ateuliwa balozi wa Mt. Kilimanjaro Marathon
Ataitangaza Tanzania na vivutio vyake kwa wacheza sinema na walimbwende wengine wa Marekani. MCHEZA sinema na mlimbwende Deidre Lorenz kutoka katika jiji la New York nchini Marekani ameteuliwa kuwa balozi wa Mt. Kilimanjaro Marathon kwenye jiji hili la mapesa duniani la New York City (NYC). Uteuzi huo ulifanywa kwa pamoja kati ya Rais wa Mt. Kilimanjaro Marathon 1991 Mtanzania Onesmo …