WAJUA kwamba unaweza kununua nguo na mavazi kupitia mtandaoni popote ulipo? Mavazi.co.tz Ni tovuti inayokuwezesha wewe mtanzania na usiye mtanzania kuweza kununua nguo za aina zote, viatu ukiwa hapo ulipo. Huitaji kwenda madukani kutafuta nguo maana MAVAZI tumekurahisishia maisha na kukufanya ununue nguo, viatu ukiwa kwenye kompyuta yako. Na Sisi tutakuletea hadi hapo ulipo. Tovuti ya MAVAZI itakurahisishia wewe mwananchi …
Filamu ya SAYLA kuzinduliwa Arusha
FILAMU ya SAYLA inatarajiwa kuzinduliwa rasmi Julai 13, 2012 katika Jiji la Arusha. Filamu hiyo iliyoshirikisha wasanii na watu maarufu takribani 27 imeandaliwa maalum kwa ajili ya kuonesha matumizi ya sanaa, kwa Watanzania na namna ya kusaidiana wakati wa matatizo. Filamu hii maalum kwa ajili ya kuwasaidia Sajuki na Wastara waliokuwa katika wakati mgumu wa kutafuta pesa za matibabu, itazinduliwa …
Miss Utalii Kagera 2012 kufanyika Jumamosi Julai 14
SHINDANO la kumsaka Miss Utalii Mkoa wa Kagera 2012, litafanyika katika Ukumbi wa Linas Club Julai 14, 2012 kuanzia saa, mbili usiku. Katika shindano hilo la mwaka huu warembo 15 watachuana kuwania taji la miss Utalii Tanzania 2012- Kagera. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na waandaaji wa onesho hilo kwa vyombo vya habari, washiriki watapita jukwaani katika mavazi ya kitanzania …
Signing of rising African rapper, Xtatic…!
SONY Music Entertainment Africa is proud to announce the signing of rising African rapper, Xtatic, to a multi-album and full management deal. The deal marks a first for a Kenyan artist and sees the hotshot rapper, songwriter and performer (born Gloria Edna Mecheo) join a global roster of artists on Sony’s RCA label that includes the likes of Usher, Chris …
Bonanza la Serengeti Fiesta Soccer Bonanza
Wachezaji wa timu ya mashabiki wa timu ya Barcelona wakishangilia mara baada ya mchezaji wao kufufunga goli zuri katika dakika tisini dhidi ya timu ya Mashabiki wa timu ya Chealsea katika mchezo wao wa fungua dima kwenye bonanza la Serengeti Fiesta Soccer Bonanza linalofanyika kwenye uwanja wa Memoriol mjini Moshi mkoani Kilimanjaro mchana huu. Bonanza limepamba moto ambapo kumekuwa na …