(Zanzibar, Julai 15, 2012). Zuku usiku wa kuamkia leo ilifanikiwa kuaanda warsha ya watengenezaji filamu kutoka baadhi za nchi mbali mbali, ambao wanahudhuria Tamasha la 15 ya Zanzibar International Film Festival ZIFF. Kauli mbiu ya warsha hiyo ilikuwa “Kupandisha viwango vya ubora katika filamu za kiafrika”. Wadau hao walilenga kuangalia kwa undani majukumu mbalimbali kuanzia kwa wawekezaji, watangazaji, na wazalishaji …
BONDIA Selemani Galile amtaka Kaseba ulingoni
BONDIA Selemani Galile ‘Selemani Toll’ amejitokeza hadharani na kumtaka bondia Japhert Kaseba baada ya kukimbiwa na Fransic Cheka katika mpambano wao uliokuwa ufanyike uwanja wa taifa jijini Dar es salaam katika tamasha la matumaini Galile amesema yupo tayari kupambana na Kaseba mda wowote ule baada ya Cheka kumuona Kaseba kuwa rekodi yake ni mbaya ya kushinda mbili na kupigwa michezo …
CRDB Bank yashinda tenda ya tiketi za elektoniki
BENKI ya CRDB PLC imeibuka mshindi wa tenda ya kutengeneza tiketi za elektroniki za kuingilia uwanjani iliyotangazwa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF). Kampuni saba zilijitokeza katika hatua ya awali ya kuonesha nia kwa ajili ya tenda hiyo ambapo Aprili 19 mwaka huu Kamati ya Mipango na Fedha ya TFF ambayo ndiyo Bodi ya Tenda ya shirikisho ilipitia …
Zuku yakutana na watengeneza filamu
ZUKU usiku wa kuamkia leo ilifanikiwa kuaanda warsha ya watengenezaji filamu kutoka baadhi za nchi mbali mbali, ambao wanahudhuria Tamasha la 15 ya Zanzibar International Film Festival ZIFF. Kauli mbiu ya warsha hiyo ilikuwa “Kupandisha viwango vya ubora katika filamu za kiafrika”. Wadau hao walilenga kuangalia kwa undani majukumu mbalimbali kuanzia kwa wawekezaji, watangazaji, na wazalishaji kwa lengo la kutoa …