Ngoma Africa band watunukiwa , ” IDA – International Diaspora Award”

HABARI za uhakika kuwa bendi maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya “The Ngoma Africa Band” au maarufu kwa jina la “FFU” wazee wa virungu na makombora ya muziki,yenye makao yake nchini Ujerumani, Bendi imetajwa kuwa ni bendi bora inayoitangaza miziki ya Afrika kwa kasi duniani,na imechaguliwa kupewa tuzo maalumu la ” IDA – International Diaspora Award” award , hiyo …

Bondia mchumiatumbo kuzipiga na Zola D

MABONDIA Alpjonce Joseph (Mchumiatumbo) na David Michael Mlope (Zola D – King) watapambana katika Tamasha la Watani wa jadi litakalofanyika katika Sikukuu ya Idd El Fitri kwenye Uwanja wa Chuo cha Bandari Temeke. Pambano hilo ambalo limeandaliwa na SHIWATA ili kukusanya fedha za Ujenzi wa nyumba za kisasa za gharama nafuu kwa ajili ya Wasanii, Waandishi wa Habari na Wanamichezo …

Ilala yamnoa bondia Ibrahim

KAMBI ya ngumi Ilala ipo kwenye maandalizi mazito ya kumnoa bondia Ibrahimu Class ‘Ibra Mawe’ anaetarajia kuzipiga na Simba Watundulu katika uzito wa KG,60 litakalofanyika siku ya Idi pili katika ukuimbi wa Diamond Jublee Akizungumza mmoja wa makocha wa kambi ya ilala inayongozwa na Kocha mkongwe wa mchezo huo Habibu Kinyogoli, Rajabu Mhamila ‘Super D’ amesema katika kipindi hichi cha …

Bondia Maoja kupeperusha bendera ya Tanzania nchini Namibia

MTANZANIA Rajabu Maoja bondia mzoefu katika ngumi za kulipwa kutoka Mkoa wa Tanga atapanda ulingoni Septemba 1 kupimana ubavu na bondia Gottlieb Ndokosho bingwa wa ngumi nchini Namibia. Mpambano huo unaofanyika katika jiji na Windhoek, nchini Namibia unawakutanisha mabondia wawili ambao wanazimudu vizuri ngumi ulingoni. Hii ni mara ya kwanza kwa bondia wa Kitanzania kugombea mkanda wa IBF katika bara …