Na Mwandishi Wetu MWANAMITINDO maarufu nchini, Ally Rehmtullah ameandaa onesho kubwa la kipekee la mitindo nchini litakalofanyika Septemba 8, 2012 katika jiji la Dar es Salaam na kuonyeshwa moja kwa moja katika mtandao wa www.ar.co.tz ambapo pia atazindua rasmi kazi zake mpya za mitindo ya mavazi mbalimbali kwa wanaume na wanawake. Akizungumza na vyombo mbalimbali vya habari hivi karibuni, Rehmtullah …
Mzuka wa FFU kuamia kwa washabiki!
NGOMA Africa Band aka FFU yenye makao yake nchini Ujerumani, Bendi hiyo maarufu barani ulaya itatingisha tena jukwaa la onesho ya kimataifa la International African festival, mjini Tubingen, Ujerumani. Onesho hilo litafanyika Agosti 11 na 12, 2012 katika uwanja wa FestPlatz, Tubingen. Habari za uhakika zinaeleza kuwa bendi hiyo imechaguliwa kuwa bendi bora ya kiafrika barani ulaya na kushinda tuzo …
Kambi ya ‘ndonga’ Ilala yatafuta mabondia wawili
KAMBI ya ngumi ya Ilala jijini Dar es Salaam ipo katika mazoezi ya kuwaandaa mabondia wake wawili watakaopanda ulingoni siku ya Iddi pili katika viwanja viwili tofauti. Akizungumza na waandishi wa habari Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa masumbwi anaesimamia Kambi ya Ilala Rajabu Mhamila ‘Super D’ amesema kuwa mabondia hawo Ibrahimu Class ‘King Class Mawe’ na Mussa Sunga. Aliongeza …
Mtoto Mlito atoka na mtoto wa fisadi
MSANII chipukizi anayekuja kwa kasi ametoka tena kivingine, huku sasa akiibuka na songi kali la Hip Hop lijulikanalo kama MTOTO WA FISADI, ambapo hapa anamzungumzia maisha ya mtoto wa fisadi na kuyalinganisha na yale ya mtoto wa masikini. Waweza kutembelea link hii hapo chini http://www.hulkshare.com/amvrvn7f25mo CONTACT: 0717999323
Ngoma Africa Band kuvamia maonesho International African Festival
*Kupokea tuzo ya bendi bora ya kiafrika barani Ulaya Na Mwandishi Wetu NGOMA Africa Band a.k.a ‘FFU’ yenye makao yake nchini Ujerumani, na bendi maarufu barani Ulaya inatarajia kutingisha tena jukwaa la onesho la kimataifa la International African Festival, mjini Tubingen, Ujerumani. Onesho la kwanza litafanyika Jumamosi ya Agosti 11 na la pili likipigwa Jumapili ya Agosti 12 katika Uwanja …
TOT taarab kutumbuiza Tanga na Mikoa ya Kanda ya ziwa
*Kutambulisha ‘Full Stop’ na Mjini Chuo Kikuu’ Na Mwandishi wetu KUNDI la taarab la Tanzania One Thetre (TOT) chini ya Malikia wa Mipsho nchini, Khadija Omari Kopa litarindima katika mikoa ya Tanga na Kanda ya Ziwa baada ya mfugo huu mtukufu wa Mwezi wa Ramadhani. Katibu wa TOT, Gasper Tumaini alisema, kwamba, ziara hiyo ambayo itatumika kutambulisha ambam za ‘Full …