Mzee Yussuf afungua ‘My Collection’

Na Mwandishi Wetu MSANII wa mziki wa Taarabu nchini Mzee Yussuf ameamua kufungua kampuni yake ya usambazaji ijulikanayo kama ‘MY Collection’ kwa ajili ya kusambaza kazi zake. Akizungumza na mwandishi wa habari hizi Meneja Mauzo wa Kampuni hiyo Mussa Msuba amesema wameamua kufungua duka kwa ajili ya kuuza CD NA DVD za bendi ya Jahazi inayongozwa na Mzee Yussuf duka …

Albamu ya ‘Wakukaya’ yatoka

  Watayarishaji wa muziki wa Finland Bw Jussi Jaakonaho na Samuli Majamaki, amefanya kazi na mwanamuziki Ashimba’s na kutoa albam mpya inayokwenda kwa jina la , “Wakukaya”, kazi hii imefanyika kwa muda wa miaka mitatu na sasa iko tayari kabisa kwa watu wa Ulaya, Tanzania na Afrika Mashariki na duniani kote kwa ujumla wake, albam hiyo imerekodiwa na kampuni ya …

Amsha amsha ya Tamasha la Fiesta ndani ya Tanga

Mtangazaji wa Clouds Fm Adam Mchomvu akionyesha t-shirt ambazo zimetoka kwa ajili ya kusherekea tamasha hilo la Fiesta 2012. Mwanadada Loveness Love akisababisha ndani ya . Mkuu wa Vipindi wa Clouds Fm Sebastian Maganga akiendeleza harakati za kukamata matukio ndani ya kitaa cha Chumbageni, pale Clouds Fm ilipotembelea vijana hao wa maskani na kupata mawili mawili matatu kuhusiana na tamasha …

FFU walivyo fanya kweli International African Festival

FFU wa Ngoma Africa Band walipofanya kweli katika maonesho ya International African Festival, mjini Tubingen, Ujerumani Agosti 11, 2012. Pia maonesho hayo yaliambatana na sherehe za tuzo la “IDA- International Diaspora Award” mshindi wa Tuzo hiyo pia ni Ngoma Africa Band, ambayo imechaguliwa kuwa ndio bendi bora ya kiafrika iliyofanya kazi nzuri ya kuutangaza mziki wa kiafrika kwa kasi na …