Nani Miss Redd's Kinondoni 2012! Juu ni Mwatumu Mustapha.

Nani kati ya hawa ni Miss Redd’s Kinondoni 2012?

    Jeniffer Manu. Zulfa Vuai. Diana Hussein. Kudra Lupatu. Nahma Saidi. Brigitter Alfred. Ester Mussa. Judith Sangu. Hawa ni baadhi ya warembo watakaoshiriki katika kinyang’anyiro cha Redd’s Miss Kinondoni 2012.

Belvedere to Enchant Tanzania Fans of Fashion

  Belvedere, the world’s first luxury vodka, partners with designer Ally Rehmtullah to present The Enchanted Jungle! By Staff Reporter Belvedere has announced a partnership with leading Tanzanian fashion designer Ally Rehmtullah for the launch of his 2013 fashion collection entitled The Enchanted Jungle. This super exclusive and highly anticipated event is to occur this Saturday, September 8th at the …

Washiriki Miss Kinondoni 2012 wakijinoa

Washiriki wa Redd’s Miss Kinondoni 2012 wakijinoa kwa kasi ili kuweza kupatikana Mrembo atakayeiwakilisha Mkoa wa Kinondoni katika Mashindano hayo kitaifa. Washiriki wa Redd’s Miss Kinondoni 2012 wakiwa katika pozi. Jumla ya warembo 12 wanataraji kupanda jukwaani kuwania taji la Redd’s Miss Kinondoni 2012, shindano litakalofanyika Ijumaa Sept 14, 2012.

Shamra shamra za Tamasha la Serengeti Fiesta Shinyanga

Mwimbaji wa muziki wa mduara, IT akionyesha manjonjo yake katika tamasha la Serengeti Fiesta, lililofanyika mkoani Shinyanga usiku wa kuamkia leo. Msanii Ommy Dimpozi, akicheza na shabiki wake. Msanii Ney wa Mitego akikamua katika tamasha la Serengeti Fiesta.  Mtangazaji wa Clouds TV, Antonio Nugaz, akitangaza washindi wawili wa pikipiki zinazotolewa na kamuni ya Push Mobile. Waimbaji wa kundi la Wanaume …

Tamasha la Serengeti Fiesta 2012 mjini Musoma

  Msanii wa muziki wa Hip Hop Bongo, Roma Mkatoriki, akiwajibika mbele ya mashabiki wake, kwenye jukwaa la Serengeti Fiesta 2012, ndani ya Viwanja vya Karume mjini Musoma usiku wa kuamkia leo.  Msanii mwenye umbo kubwa katika tasnia ya filamu Bongo, Jacob Steven ‘JB’, akionesha uwezo wa kunengua kwenye Tamasha la Serengeti Fiesta 2012 ndani ya uwanja vya Karume mjini …