Chris Luv akimtambulisha Linah Watu full kuenjoy Security ilikuwa yakutosha Wakina dada pia walijitokeza kushow support Moi with my brother Joseph & his wife aka my wii Vicky.
‘FFU’ Ngoma Afrika Bandi kutumbuiza Afrika, Messe Bremen
BENDI maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya, Ngoma Africa Band a.k.a ‘FFU’ yenye maskani yake nchini Ujerumani,inatarajiwa kutumbuiza katika maonesho mengine makubwa siku ya Jumatano Septemba 12 mjini Bremerhaven, na pia Jumamosi ya Septemba 15, 2012. Bendi hiyo inayokamatia taji la kimataifa la “IDA-International Diaspora Award’ chini ya kikosi kazi chake itapeleka nguvu zote katika maonesho makubwa ya biashara …
Ally Rehmtullah 2013 Collection watch it live online
Catwalk Trainer show his Swagga to Models. Models are hot and sexy…as seen listening attentively to their model coordinator, Rio Paul. Models Swagga. Guests of this event will enjoy FREE drinks ranging from soft drink, beer and amazing cocktails from BELVEDERE VODKA! There are TWO huge screens set outside with some loungers for those who love outdoor lounging. Finally …
Hii ni zamu ya wakazi wa Tabora na Serengeti Fiesta 2012
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Mabeste akikamua kwenye tamasha la Serengeti Fiesta 2012 usiku wa kuamkia leo kwenye uwanja wa Ally Hassan Mwinyi, ambapo katika tamasha hilo wakazi wa mji wa Tabora walijitokeza kwa wingi na kujishuhudia vipaji mbalimbali vya muziki. Anaitwa Godzilla, Msanii wa Hip Hop katika muziki wa kizazi kipya, akiangusha mistari iliyowasisimua mashabiki mbalimbali waliofika kwenye …
Redd’s Miss Kinondoni 2012 Septemba 14
Mratibu wa Redd’s Miss Kinondoni 2012, Vivien Sirikwa (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari leo katika ukumbi wa hoteli ya JB Belmonte, iliyopo jengo la Benjamin Mkapa, Dar es Salaam wakati wa wakiongea na waandishi wa habari kuhusu shindano la Redd’s Miss Kinondoni 2012 ambalo litafanyika Septemba 14, kwenye ukumbi wa Cassa Complex, Mikocheni, Dar es Salaam. Kulia ni Victoria …
FFU Ughaibuni wafunika Festival, Hamburg
FFU Ughaibuni wafunika Festival, Hamburg KIKOSI cha muziki cha FFU Jumapili ya Agosti 26 kilivamia na kufanya onesho kabambe katika mjini Hamburg, bendi hiyo maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya ilikua na kazi moja tu ya kuwadatisha akili washabiiki katika onesho la Alafia mjini Hamburg! Ambapo washabiki walijikuta wakidatishwa akili na mdundo wa FFU. Ngoma Africa band wanashikilia Tuzo …