*Ni katika Jumba la ajabu palikua hapatoshi KIKOSI kazi cha wasanii wa Ngoma Africa Band a.k.a FFU, yenye maskani yake nchini Ujerumani Septemba 12, 2012 ilijikuta ikivaana jino kwa jino na washabiki wakongwe ndani ya juma la ajabu la “Klimahaus” Arena mjini Bremerhaven, Ujerumani. Baada ya mdundo wa ngoma africa band kupenya katika nyoyo za washabiki wa mataifa mbali mbali …
Redd’s Miss Kinondoni Talent Ilivyofana
Mkuu wa Itifaki wa Miss Tanzania Albert Makoye akifungua mashindano ya Redd’s Miss Kinondoni Talent, pembeni yake ni Ssebo ambaye ni mmoja kati ya mwanabodi wa Redd’s Miss Kinondoni 2012 na alikuwa ni mshereheshaji katika shindano hilo lililofanyika katika hoteli ya JB Belmonte, iliyopo jengo la Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Mashindano hayo yalidhaminiwa na Perfect Lady Classic Saloon iliyopo …
BFT Yaandaa Mashindano ya Ngumi Ubingwa wa Taifa 2012
Na Mwandishi Wetu SHIRIKISHO la ngumi Tanzania (BFT) limeandaa mashindano ya ngumi ya ubingwa wa Taifa 2012 yatakayofanyika kuanzia Septemba 17 hadi 22, 2012 ndani ya uwanja wa Taifa (indoor stadium). Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu wa BFT, Makore Mashaga kwa vyombo vya habari leo amesema jumla ya mikoa 18 ya kimichezo itashiriki katika mashindano hayo. Alisema …
Vijana wa Skylight Bendi Wafanya Mambo Thai Village
Vijana wa kazi wakitoa burudani ya kufa mtu… Sebene likiwa limenoga. Wanadada wa Skylight bendi Mary na Anneth. Wadau wakishow love. Haki Ngowi akiwa na rafiki yake nao waliwakilisha. Mkurugenzi wa Ndege Insurance na Skylight Entertainment Bw. Sebastian Ndege (kulia) akiwa pamoja na marafiki zake. Marafiki wakiwa katika picha ya pamoja. Marafiki wakiselebuka… Wadau kutoka Clouds Fm nao waliweza kuja …
Waongoza filamu wapewa semina
Na Aron Msigwa, Maelezo Dar es Salaam WAONGOZA filamu nchini wametakiwa kujiendeleza kielimu, kufuata sheria na taratibu zinazosimamia tasnia hiyo ili waweze kuondoa tatizo la kukosekana kwa maadili na weledi katika kazi wanazozifanya. Akizungumza wakati wa ufungaji wa mafunzo siku 10 yaliyowahusisha wadau kutoka Chama cha Waongozaji wa Filamu (TAFIDA) takribani 50 yaliyoandaliwa na Bodi ya Filamu na kutolewa na …
Atlantic vinara wa Safari Lager National Pool
Na Mwandishi Wetu TIMU ya mchezo wa pool ya Atlantic yenye makazi yake Majengo Mjini Dodoma, ilifanikiwa kutwaa ubingwa wa mashindano ya pool ya ‘Safari Lager National Pool Championships 2012’ baada ya kuibamiza klabu ya Florida yenye makazi yake Barabara ya Bahi, 13-8 katika mchezo wa fainali wa mashindano hayo ngazi ya mkoa yaliyofanyika katika Klabu ya Atlantic mjini Dodoma …