Tamasha la Fiesta 2012 Mjini Morogoro
Pichani kulia ni Ofisa Mahusiano wa kampuni ya Clouds Media Group, Simalenga akizungumza jambo na Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Joel Bendera ambaye ni mgeni rasmi usiku huu ndani ya uwanja wa Jamhuri, wakati Tamasha la Serengeti likiendelea kufanyika. Pichani mbele ni msanii Rich Mavoko akiliongoza kundi lake jukwaani usiku huu. Ommy Dimpoz pichani kati sambamba na kundi lake …
Brigiter Alfred Ndiye Mshindi wa Taji la Redd’s Miss Kinondoni 2012
Akivalishwa taji lake la Redd’s Miss Kinondoni 2012. Mkurugenzi wa Perfect Lady Classic Saloon, Ester Kiama ambao ndiyo waliokuwa wamedhamini Redd’s Miss Kinondoni Talent akitangaza zawadi alizompatia mrembo aliyeshinda, ambaye ni Brigiter Alfred (mrembo wa katikati). Top 5 ya Redd’s Miss Kinondoni 2012. Huyu ni Redd’d Miss Kinondoni 2012 aliyejinyakulia taji la kuwa Miss Mwananyamara Hospitali ambao kazi yake kubwa …
Tamasha la Serengeti Fiesta 2012 ni Funika Dodoma!
Wasanii mahiri wa filamu hapa nchini nao walikuwepo kuliunga mkono tamasha la Fiesta usiku huu ndani ya Dodoma, kutoka kulia ni Jacob Steven a. k. a JB, Wema Sepetu pamoja Aunt Ezekiel. Ray Kigosi akilicheza sebene jukwaani. Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Dk. Rehema Nchimbi akisoma jina la mshindi wa gari aina ya Vitz inayotolewa na kampuni ya Push …
Waamuzi Mashindano ya Ubingwa wa Taifa Ngumi Watajwa
SHIRIKISHO la ngumi Tanzania (BFT) kwa kupitia Chama cha Waamuzi wa Ngumi za Ridhaa wameteua na kuwathibitisha waamuzi watakao tumika katika mashindano ya ubingwa wa taifa yatakayofanyika kuanzia Septemba 17 hadi 22, 2012 uwanja wa taifa wa ndani. Kwa mujibu wa taarifa yao kwa vyombo vya habari waamuzi waliopitishwa ni pamoja na Mohamed Kasilamatwi mwamuzi wa kimataifa na Juma Selemani …