Kimisheni ya Ngumi Tanzania Yaisaidia BFT

Na Mwandishi Wetu KAMISHENI ya Ngumi za Kulipwa Nchini (TPBC) imelipiga jeki Shirikisho la Ngumi za Ridhaa Nchini (BFT) katika mashindano yaliyomalizika kwenye uwanja wa ndani wa Taifa jijini Dar es Salaam kwa kutoa zawadi za washindi kwanza na wa pili. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Septemba 19, 2012 na Rais wa TPBC, Onesmo Ngowi imeeleza kamisheni hiyo ya …

Flaviana Matata In UK For The London Fashion Week

  She spoke to the BBC a few hours before returning to New York where she is based when not working in Europe, Africa or other parts of the world. Here she is being interviewed for BBC Africa’s news and current affairs TV programme in Kiswahili, Dira ya Dunia.  She was also interviewed for BBC’s Focus on Africa radio programme. …

Naibu Mkurugenzi Kufunga Mashindano ya Fainali za Ngumi Ubingwa wa Taifa

Na Mwandishi Wetu NAIBU Mkurugenzi wa Maendeleo ya Michezo nchini, Juliana Yassoda leo anatarajia kufunga Mashindano ya Fainali za Ngumi ya Ubingwa wa Taifa kwenye uwanja wa ndani wa taifa kuanzia saa tisa alasiri. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu wa Shirikisho la Mchezo wa Ngumi Tanzania (BFT), Makore Mashaga jana kwa vyombo vya habari katika fainali hizo mabingwa …

Promota ‘Kaike Siraju’ Adaiwa Kuwaingiza Mitini Mabondia

Na Mwandishi Wetu PROMOTA wa ngumi za kulipwa nchini Kaike Mfaume Siraju anadaiwa kuwaingiza mitini mabodia wanne vijana nchini Tanzania baada ya kuwapambanisha Julai 15, 2012 kwa makubaliano ya kuwalipa malipo kidogo. Kwa mujibu wa taarifa ambazo mtandao huu umezipata inadaiwa promota Siraju mnamo Juni 25, 2012 aliwasainisha mkataba mabondia wanne (Issa Omar kucheza na Ramadhan Kumbele na Mwaite Juma …

Mashindano ya Ngumi Taifa Yakosa Udhamini Dar

Na Mwandishi Wetu KOCHA wa Ngumi wa Timu ya Ashanti ya Mkoa wa ILala kimichezo, Rajabu Mhamila amesikitishwa na kitendo cha Mashindano ya Taifa ya mchezo wa ngumi kukosa mdhamini hata mmoja ilhali kuna wadhamini wengine wamekuwa wakidhamini hata mashindano ya mbio za mbuzi. Akizungumza leo wakati wa mashindano hayo yanayofanyika jijini Dar es Salaam na kushirikisha mikoa 18 yalioanza …

‘FFU’ wa Ngoma Africa Band Watimua Vumbi Afrika-Messe

KIKOSI kazi cha Ngoma Africa Band iliyozoeleka kwa tendo la kuwapagawisha washabiki wa muziki ughaibuni, Septemba 15, 2012 kimefanya kweli katika maonesho makubwa ya biashara ya Afrika-Messe, mjini Bremen, Ujerumani. Bendi hiyo maarufu ilipanda jukwaani na kufanikiwa kuziteka nyoyo za washabiki kwa mara nyingine tena kwa kuwadatisha akili na muziki wenye raha kamili. CD za bendi hiyo zimekamata nafasi ya …