Filamu Mpya ‘My Man Sehemu ya 2’ Kuingia Sokoni

Filamu Mpya Ya My Man Sehemu ya 2 inatarajiwa kuingia Sokoni muda si mrefu kutokana na kumalizika kwa kazi nzima ya utengenezaji wake. Filamu hii ya kitanzania ambayo story yake imeandikwa na Kijana Geric Kimaro anayesomea Shahada ya Kwanza ya Filamu katika Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOM) akiwa mwanafunzi wa Mwaka wa 2 Chuo Hapo. Akiongea na Mtandao  wa LUKAZA …

Mchezo wa Bondia Hatarini Kupoteza Asili Yake

Na Onesmo Ngowi MASUMBWI kwa jina lingine waweza kuita ndondi au ngumi na kwa majina ya mitaani ndogwa, mawe n.k. ni mchezo unapoendwa sana na watu wengi. Aidha mchezo huu ni kati ya michezo inayoogopwa sana duniani. Mchezo wa ngumi uko hatarini kupoteza maana yake ya asili yaani kucheza kama burudani, kuwakilisha nchi na kujenga ushupavu wa mchezaji. Mamilioni ya …

Mabondia Bingwa Uzito wa Kati Tanzania na Uganda Kupambana

Na Mwandishi Wetu BONDIA Bingwa uzito wa kati (middle) kg 72.5 wa nchini Uganda, Med Sebyala (Bingwa Uzito wa Kati Uganda- UPBC) na Bingwa wa uzito huku kutoka nchini Tanzania, Thomas Mashali (Bingwa Uzito wa Kati Tanzania -TPBO), Oktoba 14 wanatarajia kupanda jukwaani kumtafuta mbabe wa uzani huo. Pambano hilo linatarajia kuwakutanisha mabondia wakali na wakatili wawapo ulingoni kwa Kanda …

IBF Yateua Makamu Rais Wanne Kuongoza Bondia Kimataifa

Na Mwandishi Wetu SHIRIKISHO la Ngumi la Kimataifa (IBF) limepanua wigo wake wa kusimamia na kuratibu mchezo wa ngumi Bara la Afrika, Mashariki ya kati, Ghuba ya Urarabu na Uajemi baada ya kuteuwa viongozi zaidi (makamu rais) kusimamia mchezo huo maeneo anuai. Miaka ya karibuni kumekuwa na ongezeko kubwa sana la vijana wengi kujiunga na ngumi na hivyo wengi kuhitaji …

Serengeti Fiesta Mkoani Mbeya Haikamatiki, Wakazi Wafurika Kushuhudia

 Wasanii wa Filamu hapa nchini Aunt Ezekiel, Wema pamoja na Shilole wakiwasikiliza mashabiki wao wanataka nini. Msanii mahiri wa muziki wa kizazi kipya, Diamond akiwaimbisha mashabiki na wapenzi wa muziki huo waliojitokeza kwa wingi usiku huu kwenye tamasha la Serengeti Fiesta, kwenye uwanja wa Sokoine, mkoani Mbeya. Shemejiii….Wema Sepetu akiwachetua kidogo wapenzi wa mambo ya filamu. Msanii wa bongofleva kutoka …

Sherehe ya Send Off ya Veronica Stima Mkoani Tabora

Bibi Harusi mratajiwa Veronica Stima akiwa amesindikiza na kaka yake John Stima kuingia katika ukumbi kwa ajili ya sherehe ya kumuaga (Send Off) iliyofanyika Student Centre, Tabora. Ambapo Harusi yake ni Jumamosi Septemba 22, 2012.  Baba na mama yake mzazi Veronica Stima (kutoka kulia) wakicheza nyimbo ya kikabila la Kifipa.  Bi Harusi mtarajiwa Veronica Stima akiwa na kaka na dada …