Maandalizi ya Serengeti Fiesta 2012 Dar es Salaam katika viwanja vya leaders Kesho. Maandalizi ya Serengeti Fiesta 2012 Dar es Salaam katika viwanja vya leaders Kesho. Maandalizi ya Serengeti Fiesta 2012 Dar es Salaam kesho ndani ya viwanja vya Leaders Club. Maandalizi ya Jukwaa la Serengeti Fiesta 2012 Dar es Salaam kesho ndani ya viwanja …
Bondia Said Mundi ‘Smart Punch’ Afiwa na Baba Yake
BONDIA Bingwa wa Taifa wa kilo 59 toka Mkoa wa Tanga, Said Mundi “Smart Punch” amefiwa na baba yake, mzee Abdulrahman Mbaraka nyumbani kwake Zahrau mkoani Tanga. Kifo hicho kilitokea jana jioni muda mfupi kabla ya mpira wa Simba na Yanga. Imeelezwa kuwa sababu ya kifo hicho cha ghafla ni shinikizo la damu. Mauti yalimfika mzee Mbaraka akiwa njiani kupelekwa …
Maandalizi ya Serengeti Fiesta 2012 Jijini Dar es Salaam
Mmoja wa watangazaji wa Clouds pichani kati, Antu Mandoza akiwa na baadhi ya washabiki wakubwa wa Tamasha la Serengeti Fiesta 2012, ndani ya viwanja vya Mwenge Yanga, Temeke jijini Dar mapema leo wakati heka heka za lala salama kuelekea kwenye kilele cha tamasha hilo litakalofanyika katika viwanja vya Lidaz Club, Kinondoni jijini Dar, ambapo Msanii wa Kimataifa kutoka nchini Marekani, …
Bondia Thomas Mashali wa Tanzania Kukipiga na Mganda Sebyala
Na Mwandishi Wetu BONDIA wa ngumi za kulipwa nchini Thomas Mashali amesaini mkataba wa kucheza pambano la ubingwa wa Afrika Mashariki na Kati dhidi ya Bondia Medi Sebyala wa Uganda, litakalofanyika Oktoba 14 mwaka huu kwenye Ukumbi wa Friends Corner. Akizungumza hivi karibuni, Mratibu wa Pambano hilo linalosimamiwa na Shirikisho la Ngumi za kulipwa TPBO, Regina Gwae amesema mpambano huo …
Mchezo wa Masumbwi Mbioni Kupoteza Asili Yake
Na Onesmo Ngowi MASUMBWI au kwa majina mwengine ndondi au ngumi na kwa majina ya mitaani ndogwa, mawe n.k. ni mchezo unapoendwa sana na watu wengi. Aidha mchezo huu ni kati ya michezo inayoogopwa sana duniani. Mchezo wa ngumi uko hatarini kupoteza maana yake ya asili yaani kucheza kama burudani, kuwakilisha nchi na kujenga ushupavu wa mchezaji. Mamilioni ya watu …