Yajue Majina ya Timu ya Taifa ya Ngumi Wakubwa (Senior Team)

Yajue Majina ya Timu ya Taifa ya Ngumi Wakubwa (Senior team) 49 KGs L/FLY Said Hofu Hafidh Bamtula 52 kgs fly weight Sunday Elias Bonface Mlingwa 56 kgs Bantam Weight Emilian Patrick Undule Langson 60kgs light weight Iddi Pialali Hamisi Kitenge 64kgs light welter Victor Njaiti Hashim Simon 69 kgs welter weight Selemani kidunda Mahamed Chibumbui 75 kgs middle weight …

Kamanda Charles Kenyela Mgeni Rasmi Mpambano Mashali na Sebyala

Na Mwandishi Wetu KAMANDA wa Polisi Mkoa wa Kipolisi wa Kinondoni, Charles Kenyela anatarajia kuwa mgeni rasmi katika pambano la kuwania Ubingwa wa Afrika Mashariki na Kati baina ya Thomas Mashali wa Tanzania na Medi Sebyala wa Uganda litakalofanyika Oktoba 14, Siku ya kumbukumbu ya Baba wa Taifa (Mwalimu J.K. Nyerere) kwenye ukumbi wa Friends Corner Manzese jijini Dar es …

BFT Yaandaa Mashindano ya Ngumi Klabu Bingwa Taifa

Na Mwandishi Wetu SHIRIKISHO la Ngumi Tanzania (BFT) limeandaa mashindano ya ngumi ya Klabu Bingwa ya Taifa yanayotarajia kufanyika kuanzaia Novemba 26 hadi 30, 2012. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na BFT, inasema mashindano hayo yatahusisha vilabu vya ngumi vilivyosajiriwa na kutambuliwa na BFT kutoka mikoa yote ya Tanzania bara na taasisi za vyombo vya ulinzi na usalama kwa mujibu …

Skylight Band Wakifanya Vitu Adimu Ndani ya Thai Village Dar

Rappa wa Skylight Band SONY MASAMBA akikonga nyoyo za mashabiki wa bendi hiyo ambao wanapata flava za muziki wa kila aina kuanzia Dancehall, Reggae, R & B, Azonto, Sebene na nyinginezo bila kusahau Kwaito.Kushoto ni Rappa mwenzake Joniko Flower. Joniko Flower kazini. Rappa SONY MASAMBA akiimba kwa hisia kali. Shabiki akimtunza Sam Machozi wa SKYLIGHT Band baada ya kukunwa na …

Perfect Lady Salon Yawapamba Washiriki Epiq Bongo Star Search 2012

 Mkurugenzi wa Perfect Classic Salon (kati mwenye nguo nyeusi) Bi. Ester Kiama akitoa maelekezo kwa mmoja ya wafanyakazi wa Salon yake jinsi ya kumtengeneza mshiriki wa Epiq Bongo Star Search (EBSS 2012). Perfect Classic Salon imedhamini shindano hilo kwa kuwapendezesha washiriki na kuwapa muonekano mpya wanapokuwa wakiimba stejini.  Mwanadada Kulwa ambaye ni mtaalamu wa kusuka kutoka Perfect Classic Salon akiwajibika. …

Wanafunzi Washindanishwa Kucheza Katika Onesho la Sarakasi la Tigo

Mtaalamu wa Biashara na Masoko wa Tigo, Gaudence Mushi (kulia) akizungumza na baadhi ya wanafunzi waliohudhuria onyesho la sarakasi la Tigo Mama Afrika lililodhaminiwa na Tigo katika Viwanja vya New World Cinema, Mwenge, jijini Dar es Salaam. Kushoto ni mwalimu wa Shule ya Sekondari Makongo, John Ngowi. Wanafunzi zaidi ya 1000 kutoka shule za sekondari za Makongo, St. Mary na …