This Sunday at the 8pm showing of Tigo Mama Africa Circus, Buy one ticket and Get one for free!!! Celebrating Mwalimu Nyerere Day. Entertainment for the whole family. THE SHOW THAT WILL BE HELD AT MWENGE NEW WORLD CENIMA @ MANCOM CENTRE YOUR MOST WELCOME & DONT MISS OUT. PRICE: ADUTS RING SIDE:30,000 ADUTS BALCONY 20,000 CHILDREN RING SIDE:15,000 …
Mganda Awasili Dar Kumkabili Bondia Mashali, Wapima Uzito
BINGWA wa Uganda Medy Sebyala amewasili nchini Tanzania kwa ajili ya pambano lake la ngumi na Bingwa wa Taifa wa Tanzania, Thomas Mashali, katika pambano la Ubingwa wa Africa Mashariki na Kati litakalo fanyika kwenye Ukumbi wa Friends Corner Hotel Oktoba 14, 2012. Akizungumzia pambano hilo Katibu Mkuu Msaidizi, Said Chaku ambaye alikuwa pamoja na Rais wa TPBO, Yasin abdallah …
THT Sasa Yaanzisha Darasa la Muziki na Sauti Kila Mwezi
Mwalimu Kibaso ambaye anafundisha masuala ya Sauti (Vocal) akiwapa mazoezi ya viungo vijana waliojiunga katika darasa la muziki linaloendeshwa na Tanzania House of Talent (THT) kila mwezi jijini Dar es Salaam. Darasa hili limekuja kutokana na maombi ya vijana wengi wanaopenda kujifunza muziki. Vijana wakiwa katika mazoezi ya viungo ambayo yanasaidia kuwafanya wawe na pumzi ya kuimba. Kila mmoja akijiachia …
Warembo wa Redds Miss Tanzania 2012 Wachezea Nyoka Arusha
******** Warembo wanaowania taji la Redds Miss Tanzania 2012 walitembelea eneo la Utalii la ufugaji nyoka la mjini Arusha maarufu Arusha Snake Park na kujionea nyoka wa aina mbalimbali, Mamba, Kenge, ndege aina ya Bundi, Tai na Tumbiri. Warembo hao wapo Mikoa ya Kanda ya Kaskazini kwaajili ya kutembelea vivutio mbalimbali vya Utalii nchini na kujifunza mambo tofauti tofauti. Pamopja …
ECAPBA Yatoa Kibali cha Pambano la Ngumi Kati ya Mashali na Sebayala
Na Mwandishi Wetu CHAMA cha Ngumi za Kulipwa cha Afrika Mashariki na Kati (ECAPBA) kimetoa kibali kwa promota Selemani Seminyo cha kuandaa pambano la kugombea Ubingwa wa Afrika Mashariki na Kati katika uzito wa kati (middleweight), baina ya bondia Thomas Mashali wa Tanzania na Sebayala Med wa Uganda. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa pambano hilo litafanyika katika Ukumbi wa Friends …