Steve RnB, Mwanamuziki aliyetamba kwenye ngoma ya Tabasamu aliyoshirikishwa na Mr Blue. Mwanamuziki Kutoka Tanzania katika miondoko ya RnB Steve RnB amepata Meneja Mpya ambaye atakuwa akisimamia kazi zake zinazohusiana na muziki wake.
TPBC Yatoa Kibali Bondia Ally Kupigana na Masamba
Na Mwandishi Wetu KAMISHENI ya Ngumi za Kulipwa Nchini (TPBC) imetoa kibali kwa bondia Rashid Ally kupigana na Bondia Wilson Masamba wa Malawi katika Motel Paradise jijini Blantyre nchini Malawi 28th Oktoba, 2012. Mpambano huo wa round nane katika uzito wa unjoya (feather weight) utakuwa sio wa ubingwa na utakuwa mpambano wa 50 kwa bondia Rashid Ally wakati kwa bondia …
Bondia ‘King Class Mawe’ Kuingia Kambini Kumkabili Mundi
Na Mwandishi Wetu BONDIA Ibrahimu Class ‘King Class Mawe’ mwishoni mwa wiki hii anaingia kambini kujiandaa na mpambano wake mwingine baada ya mwishoni mwa wiki iliyopita kumtwanga bondia Jonas Segu wa Dar es Salaam. King Class Mawe ataanza mazoezi mwishoni mwa wiki hii kwa ajili ya kumkabiri bondia kutoka Tanga Saidi Mundi mpambano utakaofanyika Desemba 9 katika Ukumbi wa PTA …
Western Jazz Band Songs of Happiness…!
“TANZANIANmusic of the 70s is like country music in the USA.” This popped into the mind of my Kenyan friend as we looked over the lyrics for this seventeen-song Western Jazz collection. He wasn’t talking about the music itself but, when it comes to the lyrical content of songs, there are definitely some parallels: lots of songs about relationships gone …
‘Father Kidevu’ Katika Mgahawa wa City Sport Lounge Kila Jumatatu na Alhamisi
Mwanamuziki Abdul Salvador “Father Kidevu” akicharaza gitaa la solo wakati akitumbuiza katika Mgahawa wa City Sport Lounge uliopo katikati ya jiji la Dar es Salaam. Salvador kwa sasa anaimbia Bendi yake inayoitwa HISIA BAND. Mwanamuziki huyo mkongwe ambaye anaweza kutumia vyombo vya aina mbalimbali vya music anatumbuiza katika mgahawa huo wa City Sport Lounge kila siku ya Jumatatu na Alhamisi …
Show ya Skylight Band Ndani ya Thai Village
Mary Lukas sambamba na SONY MASAMBA wakisakata sebene. Sebene limekolea kwa mashabiki. It’s time for the Dance hall…. Aneth Kushaba AK-47 akizungusha mauno. It’s Reggae time. Shabiki aliyenogewa na Sauti pamoja na uimbaji wa Mary Lukas, alishindwa kuvumilia nakujisogeza kwenye steji. Rappa SONY MASAMBA akionyesha ufundi wake katika kucheza Sebene. Kwaito ilihusika pia. Palikua hapatoshi kwenye dance floor kama …