Msanii KingKapita atoka na SHIKAMOO PESA nyimbo aliomshirikishaTash ‘Mzee wa Chapia’ Zaidi zama hapa; – http://www.hulkshare.com/7u4tpclsbwu8
Women in Balance Kitchen Party Gala Ilivyofana
Msemaji katika Hafla ya Women in Balance Kitchen Party Gala Mhadhiri Msaidizi wa Idara ya Saikolojia katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Bw. Chris Mauki akitoa somo la Saikolojia kwa wakinamama na wasichana waliohudhuria hafla hilo iliyofanyika katika ukumbi wa Diamond Jubilee VIP Hall jijini Dar. Life Style Designer of Sex and Relationships kutoka Kenya Bi. Getrude Mungai akitoa …
TPBC Yawaomba Watanzania Kumuunga Mkono Francis Cheka Ujerumani
Na Mwandishi Wetu SHIRIKISHO la Ngumi la Kimataifa (IBF) Barani Afrika, Mashariki ya Kati, Ghuba ya Uarabu na Uajemi limewataka Watanzania kujitokeze kwa wingi kumshangilia bondia Francis Cheka katika mpambano wake na Benjamin Simon wa Ujerumani. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Rais wa TPBC, Onesmo Ngowi mpambamo huo utafanyika Novemba 18, 2012 katika Ukumbi wa Universal jijini Berlin nchini …
UN Family Day Ndani ya Wiki ya Umoja wa Mataifa ya Miaka 67
Kikosi cha timu ya Wafanyakazi wa Umoja wa Mataifa katika picha ya pamoja. Kikosi cha timu ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa. Mechi ya Kirafiki kati ya timu ya Umoja wa Mataifa (Blue) na timu ya Wizara ya Mambo ya Nje (Nyeupe) katika UN Family Day ya maadhimisho ya wiki ya Umoja wa mataifa kusheherekea miaka …
Bondia Francis Cheka Sasa Kuzipiga na Simon wa Ujerumani
PAMBANO la ngumi kati ya bondia Francis Cheka kutoka Tanzania na Benjamin Simon wa nchini Ujerumani linalosubiriwa kwa hamu na wapenzi wengi wa mchezo wa ngumi sasa litafanyika Novemba 18, katika Ukumbi wa Universal jijini Berlin Ujerumani. Awali mpambano huo ulikuwa ufanyike Novemba 17 jijini Berlin, Ujerumani na tayari bondia Francis Cheka ameshasaini mkataba wa kukutana na mbabe huyo wa …
Alwaten Artist Theatre Kutoka na Mpya ya 2012
WASANII wa Kundi la Alwaten Artist Theatre wapo mbioni kutoa kazi mpya mwishoni mwa mwaka huu baada ya kutoa kazi nane zilizopita. Akizungumza Mkurugenzi wa Kundi hilo, Haji Dilunga alisema kundi lao ambalo lina malengo mazuri kwa wasanii chipukizi nchini hasa ukizingatia kuwa kwa sasa sanaa ni ajira, wanatoa nafasi zaidi kwa wasanii wachanga kwa ajili ya kujifunza sanaa na …