Hii ni Ratiba Mpya ya Msondo Ngoma Bendi

BENDI kongwe ya muziki wa dansi Tanzania, Msondo Ngoma ‘Baba ya Muziki’ imetoa ratiba yao katika wiki baada ya kutoa burudani Dar es Salaam wiki iliyopita sasa wamerudi tena kwa ajiri ya kutoa burudani burudani nzuri zaidi wamesema kuwa wataanza kutoa burudani. Siku ya Jumatano watakuwa ndani ya Ashok Pub-Mbagala Kuu, Alhamia watakuwa Ya Wipes Pub-Mivinjeni, Ijuma watakuwa katika bonanza, …

Shamra shamra za Eid El Hajj na Skylight Band

Pichani Juu na Chini ni kundi zima la SKYLIGHT Band likitoa burudani ya kukata na shoka katika kusheherekea Sikukuu ya Eid El Hajj katika kiota cha Thai Village- Masaki jijini Dar es Salaam. Aneth Kushaba AK 47 sambasamba na Mary Lukas wakishambulia Jukwaa. Mary Lukas akicheza na Shabiki wa SKYLIGHT Band. Hapo sasa twende kazi mpaka chini hiyo. Sam wa …

Boniface Wambura Apanda Ngazi ECAPBA

BONIFACE Wambura ambaye kwa sasa ni Mwenyekiti wa Kamati ya Viwango ya Kamisheni ya Ngumi za Kulipwa Tanzania (TPBC), ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Kamatiu ya Viwango ya Chama cha Ngumi za Kulipwa Afrika ya Mashariki na Kati (ECAPBA). Boniface ambaye pia ni Ofisa Habari wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), ni mtaalamu wa fani ya uandishi wa habari …

Pambano la Matumla na Omot wa Kenya Laiva

BONDIA Rashid Matumla na Patrik Omot wa Kenya wanategemea kupanda ulingoni kesho katika Ukumbi wa Makonde mkoani Mtwara. Mabondia wote wamepima uzito na taarifa ni kwamba wote wana uzani sawa wa kilo 73, na afya njema huku kila mmoja akimtambia mwenzake. Shughuli ya upimaji iliyoendeshwa na Katibu Mkuu wa TPBO, Ibrahim Kamwe pamoja na daktari Madono lilienda vema. Taarifa zaidi …

Bondia ‘King Class Mawe’ Aeleza Siri ya Mafanikio

NI dhahiri kuwa vipaji vikiibuliwa tangu utotoni na kuendelezwa vyema vijana wanakuja kuwa wazuri ukubwani na kulitangaza vyema taifa nchi za nje. Hali hiyo inadhihirika kwa kijana Ibrahim Class ‘King Class Mawe’ ambaye anafanya vizuri katika medani za ngumi ambazo zinamsaidia kuinua kiwango chake. Tangu aingie katika mchezo huo ameshiriki katika mashindano mengi na kufanya vizuri na kusababisha wadau mbalimbali …

Bondia Gottlieb Ndokosho wa Namibia Kutafutiwa Mbabe Wake

BONDIA kutoka nchini Namibia, Gottlieb Ndokosho ambaye alimsambaratisha Mtanzania, Rajabu Maoja katika raundi ya kwanza ya mpambano wao wa kugombea mkanda wa IBF Afrika uzito wa unyoya, atapanda tena ulingoni jijini Windhoek, Namibia kutetea mkanda huo kati ya mabondia watatu ambao walipendekezwa na IBF kuzichapa nae. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Rais wa IBF Africa Masharikim ya Kati, Ghuba …