Je, Nani Kuibuka Redds Miss Tanzania 2012

Anaitwa VIRGINIA MOKIRI  ni mshiriki namba 1. Akitokea Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) na akiwakilisha Elimu ya Juu.  Anakwenda kwa jina la  EUGENE FABIAN Mbio za kulisaka taji la Miss Tanzania amezianzia Mkoani Mara na baade kutwaa taji la Kanda ya Ziwa na anavalia namba 21 kambi ya taifa.   BABYLOVE KALALA ni Mshiriki na 9 akitokea mkoa wa Kagera, …

Steps Entertainment Kuwatosa Wasanii Wasiofuata Sheria

KAMPUNI ya usambazaji na utengenezaji filamu nchini Steps Entertainment imeahidi kushirikiana na serikali kupambana na wanaokiuka sheria ya filamu na michezo ya kuigiza ya mwaka 1976. Hayo yamesemwa jana na meneja Mkuu wa Steps Entertainment Bw. Jairaj Almoradan jijini Dar es Salaam wakati wa mkutano na Sekretatieti ya Bodi ya filamu Tanzania. Bw. Almoradan amesema kampuni yake haitapokea kazi za …

Tamasha la Kuhamasisha Ngumi Mtwara Lamalizika kwa ‘Vituko’

TAMASHA la kuhamasisha masumbwi mkoani Mtwara lilimalizika kwa mafanikio mazuri kwa watu kuitikia na kukubali mapambano mengine mengi ya ngumi kufanyika mkoani humo. Katika tamasha hilo lililosindikizwa na pambano la ubingwa wa taifa la uzito wa unyoya kati ya Bakari mohamed’dunda wa blackmamba ya mtwara alimshinda abdala seleman wa Dar es Salaam. Naye bondia mkongwe Rashid ‘Snake Man” Matumla alimshinda …