Mashindano ya Gofu Johnnie Walker Waitara Yafanyika Lugalo Dar es Salaam

 Mzee Nicolaus Silwinga akijiandaa kupiga kipira katika hall namba moja wakati wa mashindano ya kuwania kombe la John Walker Waitara yaliyofanyika katika viwanja vya Gofu Lugalo jijini Dar es Salaam. Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) Stephen Gannon (kulia) akiwa amesimamam na mmoja wa wacheza Golfu wenzake David Molel muda mfupi kabla ya kuanza kucheza gofu katika …

TPBO Yajitoa Mpambano wa Ngumi Kati ya Selemani Saidi na Caled Ameinda, PST Waingilia Wasema Mpambano Utafanyika

Na Mwandishi Wetu OGANAIZESHENI ya ngumi za kulipwa Tanzania (TPBO) imetangaza kujitoa katika mpambano wa ngumi kati ya mabondia Selemani Saidi na Caled Ameinda baada ya kudai muandaaji wa mpambano huo ameshindwa kutimiza masharti kabla ya pambano hilo. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Rais wa TPBO, Yassin Abdallah Mwaipaya kwa vyombo vya habari, chama hicho kimeamua kujitoa baada ya …

Epiq Bongo Star Search 2012 ni Walter Chilambo

MSHINDI wa Shindano la kumtafuta msanii mwenye kipaji cha muziki maarufu kama Epiq Bongo Star Search (EBSS) hatimaye amejulikana usiku huu ndani ya Ukumbi wa Diamond Jubilee. Aliyefanikiwa kushinda taji hilo mwaka huu ni msanii chipukizi mwenye kipaji cha muziki na sauti laini Walter Chilambo, ambaye tayari amekabidhiwa kitita cha sh. milioni 50 za Kitanzania usiku huu. Chilambo ameibuka mshindi …

Timu ya Taifa ya Ngumi Tanzania Kupambana na Timu ya Zambia

Je, wajua kuhusu hili..! Basi karibia ujionee. WAPENZI WA MCHEZO WA MASUMBWI MNATAHARIFIWA KUWA KUTAKUWA NA MCHEZO WA NGUMI WA KIMATAIFA KATI YA ZAMBIA NA TIMU YA TAIFA YA MASUMBWI (BOXING) YA TANZANIA LITAKALOFANYIKA JUMAMOSI YA NOVEMBA 10, 2010 KATIKA UKUMBI WA DDC KARIAKOO KUANZIA SAA KUMI KAMILI. NJOO UBURUDIKE NA NGUMI SAFI KUTOKA KATIKA MATAIFA MAWILI MPAMBANO HUO WA …

Msondo Ngoma Kuzinduwa Vyombo Vipya ya Muziki

BENDI Kongwe ya muziki wa dansi nchini Tanzania Msondo Music inatarajia kuzindua vyombo vyake vipya walivyokabidhiwa hivi karibuni na Kampuni ya KONYAGI. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Msemaji wa bendi hiyo, Rajabu Mhamila amesema vyombo hivyo walikabidhiwa na Kampuni ya Konyagi. “Tutavizindua vyombo hivyo mbele ya mashabiki wetu Ijumaa pale LIDAZ CLUB hivyo wapenzi wote wa bendi ya Msondo …

Skylight Band Walivyopagawisha Ndani ya Thai Village Dar

Mabinti watanashati wenye uwezo wa kumtoa nyoka pangoni SKYLIGHT Band Aneth Kushaba AK 47 (kushoto) na Mary Lukas wakitumbuiza mashabiki (hawapo pichani) katika kiota cha maraha cha Thai Village Ijumaa ya November 2 mwaka huu. Vijana wa SKYLIGHT Band wakiwajibika jukwaani. Hapo sasa twende kazi sebene limekolea, Wazungu nao wamo siku hizi kwa mauno eeeh.!! Aneth Kushaba AK 47 sambamba …