Umewahi kulisikia hili neno? Kwa ufupi linasanifu dhana nzima ya AFYA. Ila afya hii inaweza kuwa ya kimwili (physical), kiakili (mental), kipesa (financial), kinahusiano (relationship), kijamii (social), kikazi(occupational), kiroho (spiritual), kihisia (emotional), kimazingira (environmental) na hata ya kitabibu (medical). Tunahitaji afya zote hizi kuwa kamili na wenye furaha (for optimal well-being). Dhana hii ya WELLNESS itaelezewa kwa ufupi kwa nini …
Tanzania Red Ribbon Fashion Gala 2012
Organiser of Tanzania Red ribbon Fashion Gala Ms.Khadija Mwanamboka (second from right) at the group photo with some of the designers at her Office. Founder and Chairperson of Tanzania Mitindo House (TMH) Ms. Khadija Mwanamboka together with the Kids from the Tanzania Mitindo House Orphanage Centre. “My Dream is to be a top designer” One of the Orphan get trained …
Ben TV Diplomatic Awards 2012
Tanzania Trade Centre, London – Mr. Yusuf Kashangwa (right) received an award for Devotion & dedication to serve his nation. His department the Trade Centre has received an award for Distinguished services and resources to Diplomacy. Apart from those other Tanzania’s who were honoured on the night included Blogger Issa Michuzi for his Distinguished services and resources to diplomacy, Mr. …
Diva Tabia Mwanjelwa: Mwanamuziki Mkongwe na Tajiri wa Sauti!
TUNAPOZUNGUMZIA orodha ya wanamuziki waimbaji akimama katika muziki wa dansi wa Tanzania kuna orodha ndefu, lakini jina la Tabia Mwanjelwa linajirudia na hata kujipa nafasi katika wanamuziki hao. Mwanamuziki Tabia Mwanjelwa ambaye amewahi kuimbia bendi ya Maquis Du Zaire enzi zile muziki wa dansi ulipokua unatingisha anga kila kona ndani na nje! Hata siku za mwisho wa wiki wapenzi wa …
Masahihisho na Bondia Onesmo Ngowi
MASAHIHISHO ya picha iliyotolewa na gazeti la Uhuru wakati bondia Onesmo Ngowi na David Migeke wakitia sahihi mkataba baina yao wa kupigana pambano lililofanyika katika ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam ni mwaka 1983 na sio 1987. Onesmo Ngowi alimdunda David Migeke kwa KO raundi ya 2 (pili) katika mpambano ulioandaliwa na kampuni ya Safari Sound Promotions ya …