Mabondia Miyeyusho na Ramadhani Kuwania Ubingwa wa Mabara WBF
WAKATI mabondia Francis Miyeyusho na Nassib Ramadhani wakitarajiwa kupima uzito Desemba 8 kabla ya kuvaana kuwania ubingwa wa Mabara wa WBF, viongozi waalikwa watakaoshuhudia pambano hilo wamefahamika. Promota wa pambano hilo litakalofanyika jijini Dar siku ya Desemba 9, Mohammed Bawazir alisema, miongoni mwa viongozi hao waalikwa ni Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Dk. David Mathayo. Mgeni rasmi ni …
Ngoma Africa Band na Mzimu wa Muziki Ughaibuni..!
HAKUNA shaka yoyote unapoutaja muziki wa Tanzania katika nyanja za kimataifa, Jina la Ngoma Africa band maarufu pia kama “FFU Ughabuni” inayoongozwa na Mwanamuziki Kamanda Ras Makunja wa FFU mwenye kukaanga mbuyu na wa kuwaachia wenye meno kutafuna. Kamanda Ras Makunja na kikosi chake hicho Ngoma Africa band yenye maskani yake nchini Ujerumani, Ughaibuni ndio wanao zidi kuwatia wazimu washabiki …
Mabondia Waoneshana Ubabe Bagamoyo
Na Mwandishi Wetu KOCHA wa Kimataifa wa mchezo wa Masumbwi nchini anaefundisha Timu ya Ashanti pamoja na timu ya Mkoa wa Ilala Kimichezo Rajabu Mhamila ‘Super D’ amevutiwa na mashabiki wa mchezo huo Mkoa wa Pwani. Baada ya kuvutiwa na umati mkubwa uliojitokeza katika mpambano uliofanyika Bagamoyo mkoani wa Pwani mwishoni mwa wiki iliyopita mpambano uliofanyika katika Ukumbi wa Saadan …
Clouds FM, Bilicanas Zasherehekea Kuanzishwa
Na Andrew Chale WADAU mbalimbali wa burudani usiku wa kuamkia jana walifurahia kwa pamoja na kula keki ya miaka 20 ya klabu ya Kimataifa ya Bilicanas na miaka 13, ya Clouds Fm, iliyoambatana na shamrashamra mbalimbali ndani na nje ya ukumbi huo. Sherehe hizo ziliongozwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Bilicanas Group, Dk. Lilian Mtei ambapo aliwashukuru wadau hao kwa kuwa …
Onesho la ‘Red Ribbon Fashion Gala 2012 ‘
Mwanamitindo wa Kimataifa nchini na Balozi wa Tanzania Mitindo House (TMH) Flaviana Matata akifungua maonyesho hayo na vazi la Ubunifu wa Khadija Mwanamboka. Pichani Juu na Chini ni Models wakionyesha mavazi mbalimbali yaliyobuniwa kutokana na Vitenge vilivyotengenezwa na Kiwanda cha Vitenge cha Morogoro Polytex ambacho ni moja wapo ya Makampuni ya MeTL. Msanii wa muziki wa Kizazi kipya Linex …