TAIFA la Marekani linahofia kwamba huenda michuano ya soka ya Euro 2016 itakayofanyika nchini Ufaransa mwezi ujao ikashambuliwa na magaidi. Idara ya masuala ya kigeni nchini Marekani imesema idadi kubwa ya watalii wanaotembelea Ulaya katika miezi ya kiangazi huenda pia ikawavutia washambuliji hao hivyo kutoa tahadhari. Michuano ya Euro 2016 inatarajiwa kuandaliwa kuanzia Juni 10 hadi Julai 12, 2016 katika …
Mrembo Ahukumiwa Kwenda Jela kwa Kumtusi Rais
MAHAKAMA moja mjini Istanbul imemhukumu kwenda jela mshindi wa zamani wa tuzo ya urembo nchini Uturuki kwa kosa la kumtusi rais wa nchi hiyo, Recep Tayyip Erdogan. Malikia huyo wa ulibwende, Merve Buyuksarac amehukumiwa kifungo cha miezi 14 gerezani. Bi. Buyuksarac, mwenye umri wa miaka 27 alipatikana na hatia ya kumtukana hadharani Mkuu wa nchi hiyo na serikali. Taarifa zinasema …
Waziri Nape Awakaribisha Bloggers Bungeni Dodoma
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye (aliyevaa tai) akiwa katika picha ya pamoja na wamiliki wa Blogs Bloggers) aliowaalika wakati wa kuwasilisha hotuba ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya wizara hiyo kwa mwaka wa Fedha wa 2016/2017, bungeni Dodoma. Kushoto ni Naibu Waziri wa wizara hiyo, AnnastaziaWambura. Baadhi ya Bloggers wakiwa bungeni wakati wa Bajeti ya …
Rihanna Kusaidia Ada Watoto Wasiojiweza
Mwanamuziki Nyota Rihanna amejitolea kufadhili elimu ya wanafunzi kupitia wakfu wake, Hatua hiyo inaamanisha kwamba watu kutoka jamii zisizojiweza watapata msaada wa kulipa ada ya shule.yake Wakfu huo wa Clara Lionel umekuwa ukifanya kazi tangu 2012 ambapo hutoa ruzuku kwa shule huko Barbados mbali na kuwasaidia wagonjwa wa saratani. Bibi yake Rihana alifariki kutokana na ugonjwa wa saratani mwaka huo …
Serikali Yamfungia Snura na Chura wake
Serikali kupitia Wizara ya Habari Sanaa Utamaduni na Michezo imesitisha kuchezwa kwa wimbo na video ya Chura ya msanii Snura Mushi kwenye vyombo vyote vya habari nchini mpaka itakapofanyiwa marekebisho. Kaimu Mkuu wa kitengo cha Mawasiliano Serikalini na msemaji wa Wizara ya Habari Zawadi Msalla alisema video ya wimbo huo inadhalilisha utu wa mwanamke na inaifanya jamii ianze kuhoji hadhi …
Nguli wa Muziki Papa Wemba Afariki Dunia
Nyota wa muziki wa Soukous ambaye ni raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo- Papa Wemba amefariki dunia Papa Wemba ambaye jina lake halisi ni Jules Shungu Wembadio Pene Kikumba, alianguka na kufa jukwaani akiwatumbuiza maelfu kwa maelfu ya mashabiki wake waliojitokeza katika tamasha la muziki mjini Abidjan Ivory Coast. Gwiji huyo wa muziki wa lingala alizaliwa mnamo Juni 14 …