Na Bashir Nkoromo BAADA ya kuwa ‘juu ya mawe’ kwa muda mrefu, bendi ya muziki wa dansi ya Vijana Jazz, ‘Wana Air pambamoto’ imeibuka upya kuanza kupiga muziki kwenye kumbi za starehe, huku ikiwa imeipua vibao viwili vipya kusuuza nyoyo za mashaki wake. Ikipiga kwa mara ya kwanza kwenye ukumbi wa Masae Bar, Kawe wilaya ya Kinodoni jijini Dar es …
Kofii Olomide Katika Mazungumzo na Wanahabari Serena Hoteli
Mwanamuziki kutoka nchini DRC-Congo, Koffi Olomide akitia saini moja ya bango lenye kampeni inayowatahadharisha madereva wa magari kunywa pombe kupindukia, ikiwa ni hatari kwa afya na usalama wao kwa ujumla,pichani kulia ni Mkurugenzi wa kampuni ya bia ya Serengeti, Bw. Steve Gannon akishuhudia tukio hilo, aidha katika tukio hilo Wanahabari mbalimbali walishuhudia tukio hilo ndani ya hotel ya Serena Inn …
Koffi Olomide Awasili Usiku Dar es Salaam Tayari kwa Burudani Jumamosi Hii
Mwanamuziki nyota wa dansi kutoka nchini DRC- Kongo, Koffi Olomide akiwasalimia baadhi ya mashabiki wake waliofika kumlaki usiku huu mara baada ya kuwasili akiwa sambamba na skwadi lake zima la Quartier Latin kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), tayari kwa onesho lake litakalofanyika siku ya jumamosi ndani ya viwanja vya Lidaz Club, Kinondoni jijini Dar na …
Skylight Entertainment Yalaani Vitendo vya Vurugu Maeneo ya Burudani
UONGOZI wa Skylight Entertainment na Skylight Band, unatoa tamko la kulaani kitendo cha watu wachache waovu wenye tabia ya kuvuruga amani kwenye sehemu za burudani. Tunapenda kuwahakikishia wapenda burudani wa Jiji la Dar es Salaam kuwa tutaendelea kutoa burudani mpya na inayokidhi kiu cha muda mrefu cha wapenda burudani katika fani ya muziki wa live. Aidha tunakemea vitendo vyovyote vya …
Red Carpet ya Swahili Fashion
Meya wa Manispaa ya Ilala Mh Jerry Silaa akiwa katika Red Carpet ya Swahili Fashion Week iliyofanyika Jana ndani ya Hotel Ya Golden Tulip. Mmiliki wa Lukaza Blog, Josephat Lukaza akiwa kwenye dhuria jekundu la Swahili Fashion Week 2012 Iliyofanyika Jana Katika Hotel ya Golden Tulip Marting Kadinda akiwa amebeba Tuzo yake Baada ya Kuibuka MShindi huku akishangiliwa na …