Shindano la Miss East Africa ni Kiboko..!

Mkurugenzi wa Kampuni ya Rena Event Limited Bw Rena Calist akizungumza na waandishi wa habari kwenye hoteli ya Seaescape iliyoko Mbezi Afrikana jijini Dar es salaam wakati akizungumzia matayarisho ya mwisho kabla ya shindano la Miss East Africa linalotarajiwa kufanyika kesho Desema 21 kwenye ukumbi wa Mlimani City Dar es salaam. Katika shindano hilo wanashiriki warembo kutoka mataifa mbalimbali ya …

Bondia Cheka Kurudiana na Chimwemwe Malawi

KAMISHENI ya Ngumi za Kulipwa Nchini (TPBC) tayari imemtafutia bondia Francis Cheka mpambano wa marudiano kati yake na bondia Chiotra Chimwemwe wa Malawi katika jiji la Addis Ababa, Ehtiopia. Mpambano huo utafayika January 26, siku ya ufunguzi wa mkutano wa wakuu wa nchi za Africa (AU Summit) katika jiji hilo la Wafalme la Abesinia! Cheka na Chimwemwe watakutana jijini Arusha …

Warembo Miss Utalii Kutinga Kambini Desemba 19

JUMLA ya warembo Sitini (60) kutoka nchi nzima na vyuo vikuu watakao shiriki fainali za Miss Utalii Tanzania 2012/2013 wanatarajia kuanza kambi Rasmi Desemba 19, 2012 katika hoteli ya kitalii ya Ikondolelo Lodge iliyopo kibamba Dar es Salaam. Wakiwa katika kambi hiyi ya siku ishirini na moja, warembo hao watashindana kuwania taji la taifa la Miss Utalii Tanzania, na tuzo …

Asilimia 90 ya Maandalizi Miss Utalii Yakamilika

WAKATI kambi ya Miss Utalii Tanzania 2012/13 ikikaribia kuanza katika Hotel ya Ikondolelo Jijini Dar es Salaam, Desemba 14, 2012 Bodi ya Taifa ya mashindano hayo ilifanya kikao na Serikari kupitia Baraza la Sanaa la Taifa katika ukumbi wa Baraza hilo. Katika kikao hicho ambacho kilijadili maandalizi ya fainali na mpango mkakati wa fainali za taifa za Miss Utalii Tanzania …