Arusha Makao Makuu Chama cha Ngumi za Kulipwa ECAPBA
Chama cha Ngumi za Kulipwa Cha Afrika ya Mashariki na Kati (ECAPBA) kimepata nyumbani baada ya Mstahiki Meya wa jiji la Arusha Mh. Gaudence Lyimo kuomba kihamie Arusha ili kiweze kukaa karibu na “Jumuiya ya Afrika ya Mashariki, EAC” Rais wa ECAPBA Onesmo Ngowi alimhakikishia mstahiki meya kuwa ECAPBA itahamishia makao yake makuu katika jiji la Arusha. Kwa sasa ECAPBA …
Chiotcha Aonja Machungu ya Cheka
BONDIA kutoka Jamhuri ya watu wa Malawi Chiotcha Chimwemwe alionja machungu ya Mtanzania Francis Cheka katika mpambano wao uliopewa jina na “Vita vya Ziwa Nyasa” tarehe 26 Desemba 2012 siku ya Boxing Day jijini Arusha. Ulikuwa ni mpambano wa mwaka ambao bondia Francis Cheka nusura aupoteze katika raundi ya pili wakati konde zito la kushoto la kapteni Usu kutoka katika …
Cheka Awaahidi Watanzania Ushindi wa Kishindo
BONDIA Mtanzania Francis Cheka kutoka katika jiji lisilo na bahari la Morogoro amewaahidi watanzania ushindi wa kishindo katika mpambano wake na bondia kutoka Malawi Chimwemwe Chiotcha kesho tarehe 26 Desemba 2012 siku ijulikanayo kama “Boxing Day” Wababe hao walizuiwa na maofisa wa ngumi wa TPBC na wale wa IBF kutozipiga kavukavu wakati walipokuwa wanapima uzito kwenye hoteli ya nyota tane …
Cheka Chimwene nusura wazichape Kavukavu
MAFAHALI mawili wanaotegemea kuzichapa tarehe 25, 2012 kugombea mkanda wa IBF katika bara la Afrika, Ghuba ya Uajemi na Mashariki ya Kati Mtanzania Francis Cheka na Mmalawi Chiotcha Chimwemwe nusura wazichape kavukavu wakati wa upimaji uzito na mkutano wa waandishi wa habari katika hoteli ya nyota 5 ya Naura Springs, jijini Arusha leo tarehe 25 Desemba 2012. Hii ni mara …
Khadija Kopa kutoa burudani Krismas Kivule
MALKIA wa Mipasho nchini, Khadija Kopa na kundi lake cha Tanzania One Theatre (TOT)leo kitatoa shoo kabambe kusherekea sikukuu ya Krismas kwa wakazi wa Kata ya Kivule, Ilala kusherekea sikukuu ya Krismas kwenye ukumbi wa Vegetable Garden Pub. Akizungumza jana, Kopa alisema kikundi hicho ambacho kitamba na nyimbo kemkem za taarab zinazotingisha katika miundoko ya Pwani ukiwemo Full Stop, Stop …