Baadhi ya wamiliki wa magazeti tando walioko jijini Dar es Salaam, wakiwa katika picha ya pamoja walipokutana katika tafrija ya kuwaaga, ashiriki wa shindano la Guinness Football Challenge 2013. Kutoka kushoto ni Kassim Mbaruku, Fransic Dande, Josephat Lukaza, William Malecela, Ahmad Michuzi, John Bukuku, Henry Mdimu na Othman Michuzi ambaye amekaa chini ni Mroki Mroki a.k.a Father Kidevu.
Skylight Band Ndani ya Usiku Maalumu
Pichani Juu na Chini ni baadhi ya mashabiki kati ya 100 waliobahatika kuonja Shots za Tequila katika usiku maalum ulioandaliwa na SKYLIGHT BAND Ijumaa ya kwanza kwa mwaka 2013 kwa ajili ya kuwashukuru wadau na mashabiki wote wanaotoa Support kwa Band hiyo yenye miezi 4 tu tangu kuzaliwa kwake. (Picha zote na dewjiblog). Wadau wakishow love kwenye sehemu maalum iliyoandaliwa …
Mabondia Hassan Mandulla na Jems Martin Kuzichapa
MABONDIA Hassan Mandulla na Jems Martin wanatarajia kupanda ulingoni Januari 27 katika ukumbi wa CCM Tandare Dar es Salaam. Akizungumzia mpambano huo mwandaaji Waziri Rosta alisema kutakuwa na mapambano mengine ya utangulizi yakiwemo ya mabondia maarufu na chipkizi alisema mapambano ya utangulizi ni Fadhiri Majia na Anton Matiasi. Aidha aliongeza kuwa mpambano mwingine utawakutanisha Shabani Kilumbelumbe na Mwaite Juma na …