Bondia Ramadhan Shauri Kutema Cheche D.I.D Hall Mabibo

BONDIA wa ngumi za kulipwa na bingwa wa IBF INTERCONTINETAL Ramadhani shauri anategemea kupanda ulingoni kesho kuzipiga na Said njechele wa iringa katika pambano la kirafiki la raundi nane katika ukumbi wa D.I.D Hall uliopo mabibo mwisho. Mratibu wa pambano hilo Charles Christopher mzazi ameeleza kuwa maaandalizi ya pambano yapo kamili na mabondia wote wapo katika hali nzuri ya ushindani …

Arobaini Waripoti Kambi Miss Utalii

JUMLA ya warembo arobaini kati ya sitini wa Miss Utalii Tanzania kutoka mikoa yote ya Tanzania.tayali wameripoti kambini leo,kuanza kambi Taifa ya siku 21 kuanzia leo. Kambi hiyo mwaka huu iko katika Hoteli ya Ikondelelo Lodge iliyoko Kibamba Dar es Salaam. Warembo walio ripoti kambini hadi sasa ni kutoka mikoa ya Arusha (Rose Godwin), Dar es Salaam 1 (Sophia Yusuph),Dar …

Wasanii wa Filamu Bongo Kupelekwa Nigeria

KAMPUNI ya Mad Mad Entertainment iliyopo jijini London nchini Uingereza, imeanzisha program maalum ya kupeleka wasanii wa filamu za bongo nje ya nchi kwa lengo la kukuza sanaa hiyo hapa nchini. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo, Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni hiyo Yasmin Razak alisema ameamua kufanya kazi na wasanii hao ili kuleta mabadiliko na kuwakwamua …

Serikali Yaridhia Kufanyika Miss Utalii Tanzania 2012/13

SERIKALI ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kupitia Baraza la Sanaa la Taifa, imebariki kufanyika kwa Fainali za Taifa za Miss Utalii Tanzania 2012/13 baada ya kuridhishwa na maandalizi yaliyofanywa na Miss Tourism Tanzania Organisation waandaaji wenye dhima ya kikomo ya kuandaa na kuendesha mashindano hayo kitaifa na kimataifa. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo kwa vyombo vya habari na …

Bondia Iddy Mnyeke Ajifua Kumkabili Sadiki Momba Feb 14

BONDIA Iddy Mnyeke yupo katika maandalizi mazito ya kujiandaa na mpambano wake na Sadiki Momba utakaofanyika February 14 katika ukumbi wa Friends Conner, Manzese jijini Dar es Salaam Bondia huyo kwa sasa ananolewa na kocha wa kimataifa wa Mchezo huo Rajabu Mhamila ‘Super D’ ambapo wameweka kambi ili kumkabili Momba Akizungumza Super D alisema kuwa amemwingiza kambini bondia wake ili …