BELGIUM based Tunisian Ayoub Nefzi will be in action in Tunis, Tunisia facing hard hitting Ghanaian Ishmael Tetteh on February 15, competing for the IBF Africa, Middle East & Persian Gulf (IBF AMEPG) Jr. Middleweight crown. The tournament is a warm up event for Nefzi’s bigger moment for IBF Intercontinental title at the end of March in Belgium Namibian IBF …
Wanafunzi wa Muziki THT Wahitimu Mafunzo
Mwalimu wa Tanzania House of Talent (THT) ya jijini Dar es Salaam, Michael Nkya akitoa cheti cha kumaliza masomo ya muziki pamoja na Sauti (vocal) Ishengoma Mwombeki ambaye ni mlemavu wa macho, masomo hayo yaliyokuwa yakitolewa na THT kwa ajili ya kuwajengea uwezo vijana juu ufahamu wa Muziki. Darasa hilo la muziki pamoja na Sauti (vocal) lilikuwa likiendeshwa kila mwenzi …
Onesmo Ngowi Kusimamia Pambano la Ubingwa wa Dunia Johannesburg
RAIS wa IBF katika bara la Afrika, Ghuba ya Uajemi na Mashariki ya Kati, Matanzania Onesmo Ngowi atasimamia pambano la ubingwa wa dunia la vijana katika jiji la Johannesburg nchini Afrika ya Kusini. Mpambano huo utawakutanisha mabondia Ilunga Makaba kutoka Jamhuri ya Watu wa Kongo (DRC) mwenye makazi yake nchini Afrika ya Kusini akipambana na bondia Gogita Gorgiladze anayetoka katika …
Bondia Selemani Galile Ajifua Kumkabili Mbwana Ally
Na Mwandishi Wetu BONDIA Selemani Galile yupo katika mazoezi ya maandalizi ya mpambano wake dhidi ya bondia Mbwana Ally utakaofanyika February 2 katika ukumbi wa Lupinga Pub uliopo Yombo Dovya Akizungumza na mwandishi wa habari hizi Galile amesema yupo fiti kwa mpambano huo kwani kwa sasa anasubiri siku ya siku tu ili aweze kufanikisha Galile aliongeza kuwa siku hiyo itakuwa …
Tamasha la Vipaji Kufanyika Januari 27
TAMASHA kubwa la vipaji linatarajia kufanyika katika Ukumbi wa Ikondolelo Lodge Hoteli ya Kitalii Kibamba Jumapili hii. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya habari na Mkurugenzi wa Masoko na Mahusiano, Fredy Tony Njeje, waandaaji wa Tamasha la Miss Utalii nchini. Alisema warembo zaidi ya 30 wanatarajia kuingia katika kinyang’anyiro kuonesha vipaji anuai ikiwemo kucheza ngoma, Kuimba, pamoja kuonesha …