Isha’s Birthday

Isha Mashauzi, one of the most popular Taarab singers in the country, celebrated her birthday yesterday 5th February, Isha who is also the band leader of her own group Mashauzi Classic Modern Taarab, got together with her parents, band members, friends and relatives, and had a lively birthday party which went on to the early hours of the morning. A …

JK Akutana na Wasanii

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete usiku wa kuamkia Februari 4, 2013, alikutana kwa muda mfupi na kundi la wasaniii wa muziki la Diamond Group wakiongozwa na kiongozi wa bendi hiyo Nasib Abdu maarufu kwa jina la Diamond. Katika mkutano huo uliofanyika kwenye Ikulu Ndogo ya mjini Kigoma, wasanii hao walimshukuru Rais Kikwete kwa msimamo wake …

TPBC Yawataka Mabigwa wote Kuitetea Mikanda yao Ifikapo March,2013

KAMISHENI ya Ngumi za Kulipwa Nchini TPBC inewataka mabingwa wake wote wawe wametetea mikanda yao ya ubingwa ifikapo tarehe 30 Marchi mwaka huu ili kuepuka kunyanganywa. Kwa kipindi kirefu mabingwa kadhaa wamekuwa wanakaa na mikanda bila kuitetea. Tunataka ieleweke kuwa muda wa kukaa na ubingwa wa TPBC ni miezi sita (6) tu na sio mwaka mmoja. Bingwa wa kweli anatakiwa …

25th International Africa Festival

Lile tamasha kubwa la tamaduni za kiafrika litafanyika tena jijini Wurzburg, nchini Ujerumani kuanzia May 30 – June 2, 2013. Haya ndugu zangu, mnaotaka kuudhuria andaeni ticket kabisa, ili mkajumuike na mkongwe wa muziki, Manu Dibango, na wengine wengi. Chanzo: www.africafestival.org

Filamu ya ‘All Eye’s On Me’ Kuzinduliwa Dodoma

WAKAZI WA DODOMA JIANDAENI VEMA SIKU YA VALENTINE DAY: TUMEWAANDALIA BONGE LA SHOO LA UZINDUZI WA MOVIE YA  EFRANCYA, ALL EYE’S ON ME:SHILOLE NDANI YA NYMBA PAMOJA NA WASANII WACHEKESHAJI KIBAO: NA PIA SURPRISE KIBAO ZITAKUWEPO, VILE VILE  WALE WATAOTUPIA PAMBA NA KUPENDEZA ZAIDI WAJIANDAE KWA ZAWADI KIBAO:  

Bondia Majia Kumvaa Mghana Isaac Quaye, Onesmo Ngowi Kwenda Ghana

MTANZANIA Fadhili Majia sasa atamvaa Mghana Isaac Quaye tarehe 8 March kutafuta nafasi ya kugombea mkanda wa ubingwa wa Jumuiya ya madola (CBC) ambayo unashikiliwa na bondia Kevin Satchell wa Uingereza. Mpambano wa Majia na Quaye umemsogezwa mbele kwa kuwa mashindano ya ubingwa wa Afrika yanayoendelea nchini Afrika ya Kusini yanarushwa na televisheni ya Super Sports ambayo ndio wafadhili wakubwa …