BENDI ya Akudo Impact wazee wa masauti, siku ya Jumapili tarehe 17, Februari 2013, itatoa burudani katika shindano la Taifa la kumsaka Mrembo wa Utalii mwenye kipaji kati ya warembo 40 waliopo kambini Ikondelelo Lodge wakijiandaa kushiriki Fainali za Taifa za Miss Utalii Tanzania 2012/13 zitakazo fanyika mwisho wa mwezi huu katika Ukumbi wa Dar Live jijini Dar es Salaam. …
Ommy D Kupamba Miss Redds Tabora
Sarahy Paul mshindi wa mwaka jana 2012 Mashindano ya Miss Redds Tabora kukujia tena kwa sura pevu zaidi, hii ni baada ya kufanyika mashindano kama haya mwaka jana na kufanikiwa kwa kiasi kikubwa, sasa ni zamu nyingine yaliyonuwiwa kuwa na ubunifu wa kutosha kwa maandalizi kabambe yaliyofanywa tayari kuanzia sasa. Nikiwasiliana kutoka SPAIN BARCELONA na muandaaji wa mashindano haya kwa …
Mabondia Ramadhani na Njiku Wasaini Kukipiga Feb 14
Na Mwandishi Wetu MABONDIA Deo Njiku wa Morogoro na Omary Ramadhani wataingia uringoni Februari 14 katika Ukumbi wa Friends Corner Hotel Manzese kuwania Ubingwa wa Tanzania PST. Mpambano huo wa aina yake unatarajiwa kuwa wa kusisimua kutokana kila mtu kuwa na rekodi nzuri mpambano uho utakaosindikizwa na mpambano mwingine wa ubingwa kati ya Godfrey Silver na Adam Yahya ambapo mipambano …
Freddy Macha Atona Ki-‘Freedom’
FREDDY Macha si jina geni kwa watanzania na wadau wasanaa popote pale duniani. Unapolitaja jina la Freddy Macha lazima utakugusia vipaji vya Mtanzania huyo mwenye vipaji vinavyolijaza gunia la sanaa. Uandishi wa makala, utunzi na simulizi za hadithi, tungo za mashairi, kuimba nyimbo na muziki na vinginevyo. Msanii Freddy Macha mtanzania mwenye makao yake nchi Uingereza ni msanii aleyeibeba Tanzania …
Miss Utalii Tanzania 2012/13 Kutembelea Hifadhi za Taifa
Miss Utalii Tanzania 2012/13 wiki ijayo wataanza ziara ndefu ya kutembelea Hifadhi za Taifa na vivutio vya utalii katika mikoa ya Dar es salaam, Morogoro, Mtwara, Lindi na Pwani. Miongoni mwa vivutio hivyo ni pamoja na Hifadhi za Taifa za Mikumi, Udizungwa, Saadani, Selous, pia maeneo ya kihistoria ya Bagamoyo, Amboni, Kijiji cha makumbusho,Makumbusho ya Taifa, Pugu sekondari, maeneo mengine …