Maneno Osward Atamba Kumchapa Kaseba

Na Mwandishi Wetu BONDIA Maneno Osward ametamba kumchakaza mpinzani wake Japhert Kaseba kunako raundi za awali katika pambano lao litakalofanyika Machi 2. Akizungumza na mwandishi wa habari hizi bondia Maneno maarufu kwa jina la ‘Mtambo wa Gongo’ alisema yeye yupo fiti na anasubili hiyo siku ya pambano linalotarajia kufanyika katika Ukumbi wa DDC Magomeni kondoa apate kumshikisha adabu Kaseba ni …

Skylight Band Kiotani Thai Village Dar

Pichani ni Sony Masamba, Mary Lukas, na Joniko Flower wakitumbuiza mashabiki wa Skylight Band kwenye kiota cha Thai Village kinachowakusanya mashabiki kila Ijumaa ya wiki kutoka sehemu mbalimbali za jijini la Dar na vitongoji vyake. Burudani ikiendelea. Sony Masamba ndani ya hisia kali kuhakikisha mashabiki wa Skylight Band wanapata ile kitu roho inapenda. Umeshawahi kusikia kipaji cha huyu dada…??? ni …

Kalunde Bend na Onesho la Valentine Trinit Oysterbay

Mkurugenzi wa Bendi ya Kalunde Deo Mwanambilimbi akiimba huku wacheza shoo wa bendi hiyo Kushoto ni Queen Vero na kulia ni Frola Bamboocha wakati wa onesho la Valentine lililofanyika kwenye ukumbi wa Trinit Oysterbay jijini Dar es salaam usiku huu, Katika Onesho hilo pia bendi ya Kalunde imetimiza miaka 7 toka ianzishwa na kusherehekea mwaka wake wa saba wa utendaji …

Francis Cheka to Defend His Title

FRANCIS Cheka, arguably Tanzania’s great boxer at the moment and the IBF Continental Africa Super Middleweight King will defend his title against the rising star boxer and the darling of the people, Thomas Mashali in May Day. The agreement to that effect was signed today at Ndekha Hotel along Magomeni Kondoa in the outskirt Dar-es-Salaam. The tournament nicknamed “The Battle …